Yu wapi Allien

mwaJ

JF-Expert Member
Sep 27, 2007
4,074
2,947
Wakuu naomba aliyemwona Allien ampe salamu zangu. Ninapenda sana thread zake hasa zile anazoleta na picha. Kwa takribani wiki ya tatu sasa nasaka kama kuna uzi mpya kutoka kwake sipati kitu.

Jamani mpeni salamu mwambieni kuna mtu 'kam-mithi'.
 
Last edited by a moderator:
I just hope he is somewhere safe and sound. Kongosho tafadhali saidia kumtafuta.

Ni jambo la kheri kumkumbuka mwenzio kwa nia njema........for it shows how much you care and love!! Don't worry mwaJ pengine ni mgawanyo wa majukumu tu ndo umemtinga, na sio yeye tu....kuna members wengi wameadimika sana jukwaani!!
 
Last edited by a moderator:
Ni jambo la kheri kumkumbuka mwenzio kwa nia njema........for it shows how much you care and love!! Don't worry mwaJ pengine ni mgawanyo wa majukumu tu ndo umemtinga, na sio yeye tu....kuna members wengi wameadimika sana jukwaani!!
Kipipi asante kwa kunipa moyo shosti, ila nitashukuru ukisaidia kupiga kelele ya kumtafuta.
 
Labda karudi kwenye space

Uwiiii, angel kwahiyo itabidi nisubiri mpaka arudi kutoka huko space? Inabidi niwe mvumilivu tu maana anaweza kurudi na nyuzi kali zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom