You're Discriminatory, NHC Tenants Protest... Tanzanian of Asian descent are Unhappy with NHC

Nawachukia asians especially wahindi kwa sababu moja tu,'UBINAFSI' yaani wako tayari CCM iendelee kutawala hata miaka Elfu so long inalinda maslahi yao wao ambao ni wachache kwa gharama ya wengi ambao ni maskini


Kwenye nyekundu hapo ndipo shina la chuki za Watanzania walio wengi juu ya hawa wanaoitwa Watanzania wenye asilia ya Kiasia,ambayo leo Sabodo anakana wasiitwe waasia, sijui atwambie kwanini wanapenda waitwe Watanzania wenye asili ya asia, kwa kutamkwa ikifika kwenye kuandikwa wakatae.

Hiyo liko wazi sana kuwa kijana wa kibantu anaekaa Kindondoni ana nafasi kubwa ya kuoana na kijana wa Kizungu toka Ulaya, amabe anaishi maelufu na maelufu ya kilomita kuliko kuona na kijana mwenye asili ya kiasia anae ishi Upanga jijini Dar es Salaam kama umbali tofauti ya mita mia tano tu. [Bofya Hapa Uone ubinafsi wao na ndoa dhidi ya wamatumbi ngozi nyeusi]


Tunajenga Tanzania ama Tunabomoa Tanzania
 
Mkuu punguza mambo ya udini.<br />
Mambo ya NHC yanahusiana vipi na Ukristo au Uslamu?<br />
Haya mambo mkiya-entertain yatatupeleka pabaya!
<br />
<br />
Huyu shossi anatafuta cheap popularity baada ya kushindwa kujenga hoja.dini hapa kwenye masuala ya nyumba imeingiaje?na uchaga na usukuma nao umefikaje hapa?jenga hoja acha ujinga na ulimbukeni haujengi.
Toa mawazo yako nn kifanyike kwa nn na kwa vipi?suala la wahindi au waasia kujenga nyumba enzi hizo halina mjadala ni kweli
Lkn zilitaifishwa enzi za mwl.iweje leo wao tu ndo wenye haki ya kuishi humo?
Huoni kama huo tayari tumebaguliwa?
Na kama kweli hawana ubaguzi kwa nn hawaruhusu watu wao kuoa au kuolewa na waafrica?
Tafakari !!!!
 
Asiyetaka kujaza form atafute nyumba yake. Hawa wanafikiria hizi ni nyumba zao.
 
wahindi are angels
wa swahilis are angels...
Wa arabu are angels ....


lets be in peace and live in peace.... Love watanzania, ...
 
Wa Tz lazima mkubali nchi yenu inaendeshwa kwa mujibu wa Rules of Law, na Mustafa Sebodo yupo right kabisa kupinga ubaguzi ndani ya nchi yenu. Sasa kama NHc wana la ziada na kama ametoa matangazo kwenye vyombo vya habari kama magazeti na Radio wana haki kumfikisha mahakamani.

Nchi haiendeshwi kama gari bovu lisilo na sheria (dereva)
hivi ninyi, kumuuliza mtu utaifa wake ni kosa, hivyo watu wakiwa hapa tz wakiulizwa utaifa wao wanafanya kosa, mbona nchi zingine zote ulaya huko tumeulizwa hadi tumechoka?....HALAFU, MBONA WAHINDI NA WAPAKISTANI WAMEJAZANA SANA uhindini huko wengine wamekamatwa hadi kule mtwara hata kiswahili hawajui, kumuuliza mtu maswali ili kujua kama ni mtz au la ni kinyume na rule of law? mnajua maana ya rule of law ninyi? Rule of law maana yake ni kwamba tunatakiwa kuongozwa na sheria zilezile ambazo sisi wenyewe tumezitunga na mbele ya sheria sote tupo sawa na hakuna mtu anayetakiwa kuwa juu ya sheria hata mmoja...hivi sheria za immigration mnazijua....kutafiti kama mtu ni mtz au la ni kwenda juu ya sheria..hamuoni kama hapo ndo kichaka cha kufichia maovu kwamba mtu atakataa kuchunguzwa akiwa kwenye mwamvuli wa ubaguzi wa rangi kwasababu yeye ni mweupe/waasili ya asia?....point ya namna hiii ni ya umbumbumbu....kuwa mbumbumbu wa sheria ni mzigo mzito sana unaotosa watz wa aina hii...
 
Back
Top Bottom