yeyote yule

Chereko

Member
Jul 20, 2009
54
16
Yeyote yule kwenye madaraka anayetoa idhini ya kuweka yadi za kontena ndani ya jiji la Dar Es Salaam bila kuangalia hali ya barabara kwa malori kuingia na kutoka ndani ya hizo yadi sidhani kama anajua anachokifanya, matokeo yake malori yanaziba barabara, yanageuzageuza na kupaki barabarani, yanasababisha foleni bila sababu! Matatizo mengine ni ya kujitakia.......
 
siyo foleni tu pia uharibifu mkubwa wa barabara, mi nijuavyo nchi hii hatuna viongozi wa future plan,bali tunaviongozi wa matukio, linapotokea tukio utawakuta wamajaa hapo tele!
 
siyo foleni tu pia uharibifu mkubwa wa barabara, mi nijuavyo nchi hii hatuna viongozi wa future plan,bali tunaviongozi wa matukio, linapotokea tukio utawakuta wamajaa hapo tele!

tn na magar yenye kod ya wtz na bendera za kjan na matumbo yalotangulia mbele km sidemirrow za yutong,.!
 
Back
Top Bottom