Yes! Rais Samia mmemchokoza, sasa mtalinywa!

Samia hataki watu wahoji, anataka hiyo kazi ifanywe na wapinzani pekee ili wasiwasikilize, anapotokea wa kuhoji ndani ya chama chake anamuona adui, bado hajawa matured politically

Kassim nae alikuwa na kikao chake Lindi kupanga safu yake. Je Mama ana jua hilo?
Je ana taarifa kwamba Mwigulu nae ana taka urais come 2025??
Mtu una ulinzi wore wa serikali upange mikakati bila kujulikana?
 
Nimeisikiliza hotuba ya Mama Samia!
Ilikuwa nzuri sana!

Kuna waliimchokoza mama, wametikisa kiberiti. Mama kasema kimejaa!

Mchokozi namba moja ni wa ule mhimili, Jobu Ndugai. Ndugai kajibiwa vizuri na kwa mantiki juu ya swala la mikopo. Hata hivyo imebainika, swala si mikopo, ni watu kujipanga 2025!

Na mama karusha dongo, kule bungeni kwa Kassim.

Tutege sikio, vichwa vitaanguka sasa hivi!.
Point ni this indicates, ndugai wasn't independently representative of the Legislative body. Why should the gvt interfere? He had all right to say that. And if we had a new const. To put the motion at the parliament on weather to take a new loan or not. Speaker of the house of representative to the citizens should be powerful than the executive...my views
 
Nimeshangazwa Sana kuona ndugai anaomba msamaha kwa unyenyekevu miubwa lakini bado kakanyagwa kanyagwa leo..ubabe wa kipuuzi wa ndugai umefika mwisho..
Ndugai yawezekana alishawishiwa kuomba msamaha akifikiri waliomshawishi wametumwa na mamlaka kumbe kukiri kosa limetumika kummaliza yeye.
 
Back
Top Bottom