Yemweee, yemwee, mweee. Nassari hongera..Ritz, Rejao et al..kwiiii, kwiiii, nacheka kama Kibera mie!

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Mwakata wakombe, wasungu, mwalinda uliiiii? Za Kung'anda? Awe zyaulaaaaaa. Kwiiiiiiiiii, Kwiiiiiiiiiiiiii ,kwiiiiiiiiii, ngoja nicheke kama kibera...........mie (mhmhmhmhmhhmhmhmhh). Mwita25 alisema atatembea bila nguo kutoka Ubungo...hadi Posta........kwa miguu(Kule Igunga)......sasa na avue tuone hilo duduz lake...............(kwa arumeru mashariki) mweeeeeeee,,.teheteheteh. Kuna "kachonchi" mwingine alisema atajinyonga.....sasa ajinyonge..........yaaani nashindwa nishangilie kwa lugha gani roho yangu iridhike. Mie Mtu wa kanda ya ziwa ila imebidi nisherekeeee kwa kifipa (lugha ya pinda). Rejao na wengine wana hali gani sasa hivi. Ritz mwambie mwita25nategemea nione habari leo jioni mtu aliyetembea uchi kutoka Ubungo hadi posta...........

Hapa Bukoba mjini vijana wako wanafunga bendera kwenye magari na pikipiki kusherekea ushindi wa CHADEMA watazunguka kila mahali........leo wikiend inaendelea mweee mweeee, iyoooooo maweeeeee, kwakweli Mukama Katonda Asimwe.

Kwiwwiwiwiwiwiwiwwwkwkwkwiwwwwiwiwiwiw, Kiranga wapi..........Ribosome.................mama porojo wapiiiiiiiiii?

Tuangalie hypothetical syllogism hapa chini

Wana CCM wote wana akili sawa,
Livingstone Lusinde ni mwana CCM,
kwa hiyo Wana CCM wote wana akili kama za Livingstone Lusinde

This includes......... Nchemba, Nape et al.
 
Mkuu naona ushindi wa Chadema umekulevya mpaka ujitambui...ebu weka hayo maneno niliyosema kwenye uchaguzi wa Arumeru Mashariki kuwa tatembea uchi.
 
quote_icon.png
By Mwita25

Mimi Chadema ikishinda Igunga wallahi natembea uchi kutoka Ubungo mpaka Posta kwa miguu.

Ritz unajua una damu mbaya hata lisilo lako unazushiwa tu.....pole ila unaona inavyoumae....kuzusha tu kama magamba kama akina lusinde............pole hata hivyo
 
Mwakata wakombe, wasungu, mwalinda uliiiii? Za Kung'anda? Awe zyaulaaaaaa. Kwiiiiiiiiii, Kwiiiiiiiiiiiiii ,kwiiiiiiiiii, ngoja nicheke kama kibera...........mie (mhmhmhmhmhhmhmhmhh). Mwita25 alisema atatembea bila nguo kutoka Ubungo...hadi Posta........kwa miguu(Kule Igunga)......sasa na avue tuone hilo duduz lake...............(kwa arumeru mashariki) mweeeeeeee,,.teheteheteh. Kuna "kachonchi" mwingine alisema atajinyonga.....sasa ajinyonge..........yaaani nashindwa nishangilie kwa lugha gani roho yangu iridhike. Mie Mtu wa kanda ya ziwa ila imebidi nisherekeeee kwa kifipa (lugha ya pinda). Rejao na wengine wana hali gani sasa hivi. Ritz nategemea nione habari leo jioni mtu aliyetembea uchi kutoka posta hadi kimara........... Hapa Bukoba mjini vijana wako wanafunga bendera kwenye magari na pikipiki kusherekea ushindi wa CHADEMA watazunguka kila mahali........leo wikiend inaendelea mweee mweeee, iyoooooo maweeeeee, kwakweli Mukama Katonda Asimwe. Kwiwwiwiwiwiwiwiwwwkwkwkwiwwwwiwiwiwiw, Kiranga wapi..........Ribosome.................mama porojo wapiiiiiiiiii? Tuangalie hypothetical syllogism hapa chini Wana CCM wote wana akili sawa, Livingstone Lusinde ni mwana CCM, kwa hiyo Wana CCM wote wana akili kama za Livingstone Lusinde This includes......... Nchemba, Nape et al.
Hongera sana mkuu.
 
Mkuu Rtz wape ongela wezako siasa sio vita, vip lakin si tumeshinda dom na vijibweni udiwani wezako tunakula bata kusherekea huo ushindi wa udiwani.
 
Mkuu Rtz wape ongela wezako siasa sio vita, vip lakin si tumeshinda dom na vijibweni udiwani wezako tunakula bata kusherekea huo ushindi wa udiwani.
Ferooooz aliimbaga hivi " Dokta usinipe moyo ni sawa na umpe mfupa autafune kibogoyo" Mauti inanisogelea na malaika wa adhabu kwa hasira wananingojeaaaaaa........khohokhoho................usimdanganye leo Ritz hata reaha ofisini hana.
 
Mgombea wa CCM hajashindwa, bali mkapa, nyele nyeupe, Lusinde, Sendeka na wenzao wenye matusi kama hawa ndo walioshindwa vibaya. Wananhi wamwaumbua kule Arusha. Kote walikoingia uchaguzini ccm wameangukia pua hata udiwani. Ni ishara ya 2015 itakavyokuwa.
 
Ferooooz aliimbaga hivi " Dokta usinipe moyo ni sawa na umpe mfupa autafune kibogoyo" Mauti inanisogelea na malaika wa adhabu kwa hasira wananingojeaaaaaa........khohokhoho................usimdanganye leo Ritz hata reaha ofisini hana.
Hahahahahaaah.

Ta Muganyizi you made my day lol.
 
Back
Top Bottom