Yemi Alade kuachia wimbo mpya alioimba kwa kiswahili

chagga land

JF-Expert Member
Jul 24, 2015
394
95
Hatimaye kiswahili chaitikisa Nigeria tena,sasa mwanadada mrembo Yem Alade kuachia ngoma mpya aliyoimba kwa lugha ambayo hatupendi kuitumia tukitana na binadam mwenye ngozi nyeupi a.k.a mzungu,kwenye mashairi ya wimbo.

Mwanadada huyo amesema kuwa Saut Soul ndie aliemfundisha kiswahili.

CHANZO: BONGO5
 
Sauti Sol amemfundisha kiswahili, au amemuandikia nyimbo? Just curious.
 
balaa! hawa west africa wameingia laini wenyewee wanatutangazia kiswahili chetu hadi raha
 
Hatimaye kiswahili chaitikisa Nigeria tena,sasa mwanadada mrembo Yem Alade kuachia ngoma mpya aliyoimba kwa lugha ambayo hatupendi kuitumia tukitana na binadam mwenye ngozi nyeupi a.k.a mzungu,kwenye mashairi ya wimbo.Mwanadada huyo amesema kuwa Saut Soul ndie aliemfundisha kiswahili.

CHANZO: BONGO5

Saut sol ni kundi sio mtu mmoja.
Aliemfundisha - waliomfundisha
 
kila msanii wa west Africa sahivi analitamani soko la East Africa haswaa Tanzania, nimeona wasanii wengine wawili wa Nigeria wamezipa title za kiswahili nyimbo zao
 
Kuna mnaigeria mwingine anaitwa Merit ana wimbo wake unaitwa nakupenda, inaonekana wanaija washaanza kukikubali kiswahili!
 
Kuna mnaigeria mwingine anaitwa Merit ana wimbo wake unaitwa nakupenda, inaonekana wanaija washaanza kukikubali kiswahili!

Hakuna kukikubali wala nini, hawa wenzetu wana pua za kunusa wapi hela ilipo, kama mdau mmoja alivyosema it's just marketing strategy kukuza soko lake Afrika mashariki!
 
Back
Top Bottom