Yeboyebo hizi mnzosuka hizi!

Jimmy Romio

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
367
278
Hivi jamani dada zangu hizi rasta za mnazosuka mistari ya twende kilioni style huwa zinabadilishwa baada ya mda gani. Nauliza hivi kwa sababu wengi ninaopishana nao huwa unakuta zinatoa uvundo kweli.

Kama basi mtu kaka kiti cha mbele yako kwenye daladala utajuta. Na haka kajoto kalivyokolea ni balaa tupu. Asinyeshewe mvua. lo..lo.. loh..!

SAMAHANINI LAKINI.
 
Nywele zinasukwa elfu 20-30 unategemea afumue baada ya wiki moja usawa huu??? Me ndo maana nimebaki na nywele fupi....mambo gani ya kusuka nywele zikae kichwani mwezi na nusu to 2months bila kichwa kuwekwa maji!!!!! wengine hukaa hata miezi 6 na nywele ukiuliza hapo ameosha nywele mara 3 toka asuke. hata kiafya sio nzuri............ Mwanamke mazingira...usafi muhimu
 
Hahahahahahahaha yani wanawake me hata sijui niseme nini....,,hata kama na mm ni m/ke lakini penye ukweli lazima usemwe..... sasa mbona sioni wanawake wenzangu hapa kutoa comments zao???
 
kwamba wote zinatema siamini. Sema dem wako mchaf kichwan kama vip anyoe ka mm.
 
zile sehemu zilizopitiwa na mistari zinao
shwaje? au mnachokonoa kwa tooth pick au pamba za maskioni? zikiwa safi na zimesukwa vimistari viduchu duchu ni tamu sana

Hebu tembelea saluni za maana utajua. Acha za Mwenge Dada karibu usuke au Ilala kwa wamasai
 
Sio wote wanao kumbuka kuziosha. wengine zinatoa uvundo na njasho la DSM. Usiombe ukutane nao kwenye daladala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom