Yanga Yamkana Stewart Hall

Baraka F.K

Member
Aug 28, 2012
79
26
Uongozi wa klabu ya Young Africans umekanusha taarufa zilizozagaa leo mchana kwamba wapo kwenye maongezi na aliyekua kocha mkuu wa Azam FC Stewart Hall aje kuifundisha timu ya Yanga.

Taarifa hizo is za kweli ni propaganda za baadhi ya watu wanaotaka kuona Yanga inavurugika na kufanya vibaya katika mzunguko wa pili.

Habari zaidi bofya hapa: youngafricans.co.tz/news/local-news/497-yanga-yamkana-stewart

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nawapongeza Yanga kwa kutoa taarifa rasmi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom