Yanga vs simba 29/10/2011

We vp?sasa hilo nalo la kuuliza?wanaovaa red like man u matokeo yanajulikana.lazima simba wapewe kitu cha 'mansita'.
 
We vp?sasa hilo nalo la kuuliza?wanaovaa red like man u matokeo yanajulikana.lazima simba wapewe kitu cha 'mansita'.
haya bana, ila yebo mna hali ngumu hata mbadilishe uongozi kichapo bado kipo hapohapo.
 
Mbabe wenu kaja Professor Papic anajua kuwapelekea kilio mzimbazi!!
mmeruka mikojo mkakanyaga kinyesi, TIMBE ni Bora kuliko PAPIC, inshort TIMBE ni bora kuliko makocha wengi waliopita YANGA, huo ndo ukweli wenyewe. Makombe 2 si MCHEZO, tena Kagame ndani yake.
 
Kova anasema hata mechi haitakuwepo na ndiyo mkome na ushabiki wa Yanga/Simba mwungane na maandamano ya malipo ya dowans ktk (BAN). Kova ni ndezi full.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom