Yanga v/s African Lyon

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
Mpira muda wowote unaanza uwanja wa Taifa tutakuwa bega kwa bega na wadau.

Here's Young Africans line-up to face African Lyon today:
1.Ally Mustafa
2.Juma Abdul
3.David Luhende
4.Nadir Haroub
5.Kelvin Yondani
6.Athuman Idd
7.Saimon Msuva
8.Frank Domayo
9.Jerson Tegete
10.Hamis Kiiza
11.Haruna Niyonzima

Subs:
1.Said Mohamed
2.Shadrack Nsajigwa
3.Stephano Mwasika
4.Nurdin Bakari
5.Nizar Khalfani
6.Said Bahanuzi
7.Didier Kavumbagu
 
[h=5]Here's Young Africans line-up to face African Lyon today:
1.Ally Mustafa
2.Juma Abdul
3.David Luhende
4.Nadir Haroub
5.Kelvin Yondani
6.Athuman Idd
7.Saimon Msuva
8.Frank Domayo
9.Jerson Tegete
10.Hamis Kiiza
11.Haruna Niyonzima

Subs:
1.Said Mohamed
2.Shadrack Nsajigwa
3.Stephano Mwasika
4.Nurdin Bakari
5.Nizar Khalfani
6.Said Bahanuzi
7.Didier Kavumbagu[/h]
 
Mpira tayari umekwisha anza katika dimba la Taifa
 
Safari hii watani ubingwa ni wenu na Azam, Mnyama ananikatisha tamaa kabisa
 
Imetokea heka heka langoni mwa A.Lyon hapa sendafu wa Lyon wamejitahidi kuokoa
 
Safari hii watani ubingwa ni wenu na Azam, Mnyama ananikatisha tamaa kabisa

nasikia mnajifua kwenye barafu Arusha sijui mechi yenu na Libola mtachezea kwenye baridi Mbeya?
 
Mpaka sasa hakuna timu iliyo ona mlango wa mwenzake
 
Saimon Msuva offside alikuwa anaenda kumsalimia kipa wa Africa Lyon
 
Baqari Mbegu ameumia anatoka anaingia Yusuf Mgao upande wa Africa Lyon dk.12
 
Msuva tatizo lake papara amefika golini kajipigia kajishuti kipa kadaka
 
Tupe pole tu mkuu sidhani kama kuna lolote tutafanya huko, timu ni dhaifu mno

naona mlivimbiwa tende na gahawa, alafu yule kocha wenu Julio anawajaza ujinga wachezaji wenu wa Simba
 
Hizi nafasi Tegete anazo chezea anaweza akarudishwa benchi kulisugua
 
Kule CCM Kirumba watoto wetu Toto African wanaminyana na Polisi Morogoro, matokeo mtayapata hapa hapa kwa uzamini wa Gongo na Mnazi
 
A.Lyon wanapata kona hapa kusini magharibi mwa uwanja
 
Jerson Tegete anafunga goli akipokea pass toka kwa David Luhende kafunga kwa kichwa, sijui kwa nini Kim Poison hamwoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom