Yanga Sc Kama haina matumizi na kibwana Shomari ni Bora wamuuze au wamtoe kwa mkopo katika dirisha dogo ili mashabiki tuburudike na kipaji chake

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,265
12,768
Ukinipa Joyce lomalosa na kibwana Shomari Basi NALIA NGWENA nitakwenda na kibwana Shomari bila wasiwasi.

KIbwana Shomari ni moja kati ya kitasa kilichochongwa na Prof wa mpira na si mwingine Prof Nabbi, hakika bwana mdogo ni kitasa haswa/anajua kukaba na kusikiliza maelekezo ya kocha.

Joyce Lomalosa ni mtu wa kupanda na kumwaga maji(kupiga klos) katika lango la maadui ni mzuri kwa Hilo na ana kontrol nzuri mguuni, kontrol ambayo hufanya mpira umtii lakini si mzuri kukaba akikutana na winga machachali huwa anateseka.

KIbwana shomari anacheza beki namba 2&3 ni kilaka mzuri aliyetengenezwa na kocha Nabbi, Kuna muda wachambuzi walisema "Kama kibwana akiendelea na ubora huu Basi anaweza kuwa mrithi wa Shomari kapombe taifa stars"

Toka kocha Gamondi aingie Yanga Sc sikumbuki kibwana Shomari Mara ya mwisho kucheza ilikua ni lini naona Kibabage anapata namba na endapo Yao akiwa majeruhi kocha anachagua kumchezesha Dikson job Kama beki namba 2.

Maoni Yangu: Kama kocha anaona haingii kwenye mfumo wake ni vyema dirisha dogo atolewe hata kwa mkopo kuliko kukaa benchi wakati mashabiki tunapenda kumuona uwanjani kijana huyu kitasa aliyebarikiwa kipaji.
 
Umepuyanga

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
walianzaga kama utani kazini kwake kuna kazi. huyuu jamaa kweli nimemmiss kumwona uwanjani. mbona bench simuonagi? au ni wenge langu.
 
unamfananisha lomalisa na kibwana kwel?
Kwà mimi Binafsi ukinipa kibwana na Lomalosa naanza na kibwana mzee.
Unazungumza hayo kwa kua lomalisa hajakutana na winga machachali.

Nenda katazame marejeo ya gemu ya Al hilal omduman vs Yanga uje kuniambia alikua anafanywa nini beki wako lomalisa.

Nenda katazame Derby ya kariakoo bwana mdogo kibwana anavyo mficha Kibu na Morrison.

Dogo anajua kukaba
 
Yanga haitaji mabeki wakusubiri kukuba
Yanga inakabia juu
Lomalisa ana skills zote anakaba, anashambulia, cross zinafika
Lomalisa ni mchezaji wa kiwango cha juu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mengine nakubali lakini siyo kukaba lomalisa hamfikii Kibwana katika kukaba Hilo NAKATAA kata kata.

UNAMJUA Adebayo wa Niger??
 
Rudi Soma nilichoandika Kisha uje kubishana NIMESEMA Kama hafit katika mfumo wamtoe kwa mkopo.
Sasa si usubiri Dirisha dogo, then umshauri akatafute Timu Ili apate muda wa kuchezaaa!!!

Amini nakwambia uyo beki mfupi yuko radhi acheze benchi Yanga kuliko aende kucheza mashujaa, sijui KMC na timu za aina hizo

Kibwana sio beki wa Mpira wa Kisasa....beki yake ya kukaba tu, na kukaribisha mashambulizi, kwa Gamondi haingii ktk mfumo wake.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ukinipa Joyce lomalosa na kibwana Shomari Basi NALIA NGWENA nitakwenda na kibwana Shomari bila wasiwasi.

KIbwana Shomari ni moja kati ya kitasa kilichochongwa na Prof wa mpira na si mwingine Prof Nabbi, hakika bwana mdogo ni kitasa haswa/anajua kukaba na kusikiliza maelekezo ya kocha.

Joyce Lomalosa ni mtu wa kupanda na kumwaga maji(kupiga klos) katika lango la maadui ni mzuri kwa Hilo na ana kontrol nzuri mguuni, kontrol ambayo hufanya mpira umtii lakini si mzuri kukaba akikutana na winga machachali huwa anateseka.

KIbwana shomari anacheza beki namba 2&3 ni kilaka mzuri aliyetengenezwa na kocha Nabbi, Kuna muda wachambuzi walisema "Kama kibwana akiendelea na ubora huu Basi anaweza kuwa mrithi wa Shomari kapombe taifa stars"

Toka kocha Gamondi aingie Yanga Sc sikumbuki kibwana Shomari Mara ya mwisho kucheza ilikua ni lini naona Kibabage anapata namba na endapo Yao akiwa majeruhi kocha anachagua kumchezesha Dikson job Kama beki namba 2.

Maoni Yangu: Kama kocha anaona haingii kwenye mfumo wake ni vyema dirisha dogo atolewe hata kwa mkopo kuliko kukaa benchi wakati mashabiki tunapenda kumuona uwanjani kijana huyu kitasa aliyebarikiwa kipaji.
Alicheza mechi ya IHEFU, apambane apate namba hakuna njia ya mkato kwenye Mpira. Huruma za watu wala hazitamsaidia.
 
Back
Top Bottom