Yanga mmeingizwa bure ila mmeingia wachache kuliko Simba walioingia jana kwa pesa zao

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,149
7,912
Hivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu.

Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo tena katika mechi ya kihistoria?

Nasema ya kihistoria kwa sababu leo mlitegemewa mpate ushindi wenu wa kwanza katika Klabu Bingwa hatua ya makundi kwa hiyo tulitegemea uwanja ufurike lakini wapi.

Uzi tayari.
 
Wameingia wachache na ushindi umekosa bwana mbumbumbu!
 
Simba waliingia wengi Kwa Kiingilio cha sh ngap?

Jezi za Yanga bei gani?

Sio wote walikuwa na jez tayar hivyo ama wamelazimika kununua au kutoa kiingilio cha juu
Yaani mtu anunue jezi ili aingie bure akakae na kajamba nani kuliko atoe buku teni akakae VIP?
 
Hivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu.

Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo tena katika mechi ya kihistoria?

Nasema ya kihistoria kwa sababu leo mlitegemewa mpate ushindi wenu wa kwanza katika Klabu Bingwa hatua ya makundi kwa hiyo tulitegemea uwanja ufurike lakini wapi.

Uzi tayari.
Shida iko wapi?
 
Una uhakika

Wameingia wachache na ushindi umekosa bwana mbumbumbu!

Kwani kuna shida gani mashabiki wakiwa wachache?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo mmeachana tena habari za clean sheet ya 3-0?

Sasa hapo ww matako yanakuwashia nn?

Kama na jezi bure sawa

Shida iko wapi?
Nimelia saana nilipoona majukwaa yapo wazi. Hivi mngeweka kiingilio hali ingekuwaje leo?
 
Hivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu.

Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo tena katika mechi ya kihistoria?

Nasema ya kihistoria kwa sababu leo mlitegemewa mpate ushindi wenu wa kwanza katika Klabu Bingwa hatua ya makundi kwa hiyo tulitegemea uwanja ufurike lakini wapi.

Uzi tayari.
mashabiki wengi wa simba jana waliingia uwanjani baaa ya simba kupata zile goli...lkn dakika 30 za mwanzo uwanja ulikuwa na mashabiki chini ya 10000,lkn pia fikiria shabiki km mimi sina jezi ila kiingilio bure ukiniuliza kipi nichague kati ya kununua jezi hata km ya 10000 tu ila ntaingia uwanjani bure au ninunue tiketi ya 5000 then niende uwanjani na nguo zozote unadhani ntachagua hiyo gharama ya kununua jezi?

kwahiyo itoshe kusema mashabiki wa yanga hawakuingia uwanjani bure km unavyosema,wameingia uwanjani kwa gharama kubwa zaii ya ile waliyolipa mashabiki wa simba jana
 
20231220_182324.jpg
Nimelia saana nilipoona majukwaa yapo wazi. Hivi mngeweka kiingilio hali ingekuwaje leo?
Hauna akili hii ni yenu jana
 
mashabiki wengi wa simba jana waliingia uwanjani baaa ya simba kupata zile goli...lkn dakika 30 za mwanzo uwanja ulikuwa na mashabiki chini ya 10000,lkn pia fikiria shabiki km mimi sina jezi ila kiingilio bure ukiniuliza kipi nichague kati ya kununua jezi hata km ya 10000 tu ila ntaingia uwanjani bure au ninunue tiketi ya 5000 then niende uwanjani na nguo zozote unadhani ntachagua hiyo gharama ya kununua jezi?

kwahiyo itoshe kusema mashabiki wa yanga hawakuingia uwanjani bure km unavyosema,wameingia uwanjani kwa gharama kubwa zaii ya ile waliyolipa mashabiki wa simba jana
Siyo kweli, unaongelea mambo ya kufikirika. Upande wote wa geti kuu ulijaa kabla ya mechi, mapengo yalikuwa upande wa pili tena sehemu za juu tu. Kwa makadirio jana kulkuwa na mtu zaidi ya 40,000. Leo Yanga haijaingiza idadi hiyo.
 
asilimia kubwa ya hao mashabiki wameingia game ikiwa inaendelea hasa baaa ya simba kufunga zile goli,japo kwenye TV ila tuliona mashabiki walivyokuwa uwanjani kabla na baada ya mechi ilivyokuwa inaendelea
 
Back
Top Bottom