Yanga mkimuacha Mbuyu Twitte mtajuta sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,239
Ziko taarifa kwamba mabingwa wa Tanzania ( ligi ya kiwango cha chini zaidi afrika ) wana mpango wa kumwacha mchezaji mkongwe na mzoefu mbuyi twitte .

Taarifa hizi ni mbaya sana kwa mtu yeyote anayelifahamu soka , uzoefu ni hazina .

Hakika watani zangu mtajutia uamuzi wenu , katika safu yenu ya back 4 hakuna mchezaji imara na asiye na masihara kama huyu jamaa.

Ni kweli kwamba kuna vijana wapya wanakuja kwa kasi , lakini ni lazima tukubali kwamba hawa wachezaji wa kibongo they do not concentrate , hawana malengo ya maana wala malengo ya muda mrefu , akishapata vijihela mbuzi vya kununulia sofa Keko , zaidi akampata na Ashura inakuwa baaasi !

Hawa wachezaji wa kigeni wamekuja kufanya kazi kweli , wasipuuzwe .
 
....kwani anajua nini zaidi ya kurusha mipira!, yule jamaa anawafaa sana wacheza "rede" wazee wa long balls!

Samahani mkuu, kwa comment hii inaonesha wewe na taaluma ya mpira ni kama Masai na samaki.

Jamaa kiufundi na kimbinu yuko vizuri tu, ungesema kwamba labda umri unakwenda Yanga inataka kutoa nafasi kwa damu mpya ningekuelewa lakini sio kusema jamaa anajua kurusha tu mipira
 
Ziko taarifa kwamba mabingwa wa Tanzania ( ligi ya kiwango cha chini zaidi afrika ) wana mpango wa kumwacha mchezaji mkongwe na mzoefu mbuyi twitte .

Taarifa hizi ni mbaya sana kwa mtu yeyote anayelifahamu soka , uzoefu ni hazina .

Hakika watani zangu mtajutia uamuzi wenu , katika safu yenu ya back 4 hakuna mchezaji imara na asiye na masihara kama huyu jamaa.

Ni kweli kwamba kuna vijana wapya wanakuja kwa kasi , lakini ni lazima tukubali kwamba hawa wachezaji wa kibongo they do not concentrate , hawana malengo ya maana wala malengo ya muda mrefu , akishapata vijihela mbuzi vya kununulia sofa Keko , zaidi akampata na Ashura inakuwa baaasi !

Hawa wachezaji wa kigeni wamekuja kufanya kazi kweli , wasipuuzwe .
Timu yako Chura FC inacheza ligi gani bora hapa Afrika? Sisi tuko nane bora CAF wewe ulikalia kwa Coastal TFF Cup.
 
Ziko taarifa kwamba mabingwa wa Tanzania ( ligi ya kiwango cha chini zaidi afrika ) wana mpango wa kumwacha mchezaji mkongwe na mzoefu mbuyi twitte .

Taarifa hizi ni mbaya sana kwa mtu yeyote anayelifahamu soka , uzoefu ni hazina .

Hakika watani zangu mtajutia uamuzi wenu , katika safu yenu ya back 4 hakuna mchezaji imara na asiye na masihara kama huyu jamaa.

Ni kweli kwamba kuna vijana wapya wanakuja kwa kasi , lakini ni lazima tukubali kwamba hawa wachezaji wa kibongo they do not concentrate , hawana malengo ya maana wala malengo ya muda mrefu , akishapata vijihela mbuzi vya kununulia sofa Keko , zaidi akampata na Ashura inakuwa baaasi !

Hawa wachezaji wa kigeni wamekuja kufanya kazi kweli , wasipuuzwe .

Hapa ndipo ilipo tofauti ya Yanga na Vyura fc. Yanga ina wataalam wanaosajili kwa malengo ya muda mrefu. Hivyo Mbuyu akiachwa mchukueni ninyi.
 
Tatizo si Yanga, tatizo ni team yake ya huko Congo.
Kumbuka kwamba Twite si mchezaji wa Yanga bali yuko pale kwa mkopo na ata ikitokea akapata team wakati akiwa na mkataba ni lazima fungu kubwa liende FC LUPOPO.
Kila Yanga wanapo extend contract na Twite basi hulipa $15,000-$25,000 kwa FC LUPOPO kabla ya kumpa na Twite fungu lake.. This means inakua ni gharama kubwa kwa klabu.
 
Duuh kumbe ana mkataba tata na wa gharama hivi
Ila Twite bado anahitajika Jangwani tuache masihara jamani, kama ishu ni huo mkataba wakae chini wazungumze
 
Ni kweli kabisa mkuu, but since last year Yanga walitoka sana kuyamaliza haya but FC LUPOPO walichomoa!!
Daah very sad tukimuacha Twite aiseee, wajaribu tena mwaka huu kuongea nao. Twite bado mpira upo, anajituma, ana nidhamu, anatumikia vizuri mwajiri wake (Yanga)
 
..... Anapiga pasi za ukweli sana jamaa.
 
huenda pia hamjafuatilia soka vizuri

  1. Tukubali Kwamba Kila zama na Kitabu chake...................mwaka huu majeraha yamemuweka Twite nje kwa muda mrefu sana na heri angekua mzawa maana kwa Pro ni mzigo tayari maana ukmbuke kadri umri unavyosogea ndivyo inakua ngumu kutibu majeraha na tukumbuke pia yule ni mchezaji mwenye chuma mguuni
  2. Yanga nadhani walishaona mbali kwani Kamusoko haakuja kwa Bahati mbaya ilikua ni exit strategy kwa Twite
  3. Tukienda kwa nafasi yake kwa sasa Uwanjani, ni kweli ni Kiraka lakini kwa nafasi ipi pale, kama ni centre back tayari zina wenyewe ambao si rahisi KUWABANDUA, kama ni full back ya kulia tayari Juma Abdul yuko kiwango cha juu sana na ameshasogezwa Kessy, hiyo mid ya chini ina watu kama sita sasa hivi, ukichukua Kamusoko, Makapu, Telela, Twite mwenyewe.........na tayari Kamusoko yuko kiwango cha juu na si salama kuchukua pro halafu akae benchi
  4. ni kweli kwamba aina ya Twite pale kati inafaa kwa mazingira fulani hasa unapohitaji kucheza long balls anajua sana lakini hawezi kuingia kwa ajili ya longa ball ama kurusha tu laba laka FIFA itaongeza timu ziwe na wachezaji 12 ama sheria ziwe kama kulivyo kwenye Basketball
  5. Its one thing kusema abaki but its another thing kusema ABAKI KWA AJILI GANI...
 
Tatizo mi mkataba tata kama wa Tevez ...mpaka fergie akaamua kumuuza japo alimuhitaji
 
Back
Top Bottom