Yanga 3 vs simba 3

MR JIMY

New Member
Oct 22, 2013
3
0
Wana jf tena wataalam wa soka naomba kujua kipi kiliwasibu yanga kipindi cha pili hadi simba ikarudisha magoli yote matatu.
 
Uwezo wa Yanga wa kucheza na timu inayocheza mpira wa Akili kama Simba ni dk.45 tu. Kwani uzee walionao Wachezaji ni kikwazo.
 
Back
Top Bottom