Yanayoendelea Ngorongoro yasipodhibitiwa yaweza kuzua maafa

Nyie watu mnapenda kujikweza sana hivi mlipokua mkishangilia Wana kusini kupolwa ile genius na mkatuita wabinafsi mlikuwa mkiwaza nini. Hallow muhame huko kwa manufaa ya taifa Zima hao wanyama ni wetu sote why mnawasumbua pisheni uwekezaji utalilipa taifa hili mara dufu taifa hili kuliko ninyi kukaa huko. Muwe wazalendo jamani mbona kusini wamekuwa wazalendo, korosho gesi vyote vinapolwa kwa manufaa ya taifa.
Lile la kumuita Mbowe gaidi kwa Samia lilikuwa dogo, Namuonea huruma hili la wa Masai halita muacha salama

Asipocheza karata zake vizuri litamgharimu sana

Anyway sikio la kufa hata hivyo haliskii dawa

Ngoja tuone mwisho wa hili
 
Me nashauri wakati maridhiano yakiendelea, makamanda wengine waendelee kupiga kelele juu ya mambo haya, CDM kama chama kikuu Cha upinzani wamekuwa kimya mno nowadays.
Mpendwa unaamini kuwa CDM ni Chama kikuu cha upinzani?

Unaishi wapi ndugu
 
Watumie busara zaidi, vita ya mishale na bunduki unaweza kujua mshindi ni nani,
Watanzania ni ndugu tusiu
Ukiniibia mali yangu unaniumiza, hata kama hukuniua moja kwa moja.

Kwa hiyo kuumizana kunakuja kwa njia tofauti tofauti. Kutumia mabunduki na mabomu ni njia moja; lakini hata kutumia njia za kuhadaa kwa lugha tamu huku matokeo yake yakiwa maumivu yale yale hakusaidii kitu.
 
Wawafukuze tu tena walichelewa. Lazima tulinde mazingira yetu. Mi siwaonei huruma kwa sababu maeneo mengi yameharibiwa na makazi. Nenda mapori ya kahama au Tabora, nenda Mwanza au Shinyanga utadhani hapakuwahi kuwa na misitu. Fukuza wote kabisa.
 
Inamaana huna ukweli unajaribu kuwahadaa watu na story za uongo
Nyie ndio mnanifanyaga nile Ban. Hivi huwa mnataka ushahidi wa kinyesi cha mtoto ilihali unaona pampaz chafu zimeongezeka kwenye dustbin
 
Hata sijui kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa kiasi hiki kuwaondoa Wamasai , ni kwamba haiwezekani kufanya mazungumzo ya amani ?

Taarifa zinaonyesha kwamba Wananchi wameshika mishale na wako Tayari kwa lolote , Je huku ndiko tunataka kwenda ?
Mwarabu katoa mzigo wa kutosha
 
Lile la kumuita Mbowe gaidi kwa Samia lilikuwa dogo, Namuonea huruma hili la wa Masai halita muacha salama

Asipocheza karata zake vizuri litamgharimu sana

Anyway sikio la kufa hata hivyo haliskii dawa

Ngoja tuone mwisho wa hili
Sisi tutashughulika naye kwa nguvu za giza
 
Tumekaa hapa karne na karne na mojawapo yakivutio cha watasha kuja hapa ni kuona jinsi tunavyo co-exsist na wanyama pori ila leo nguvu kubwa inatumika kutuondoa.

Eroo huu ni ukatili.
Na kuvaa madera bila chupi huku mkiacha matako na midereule yenu wazi. Wamasai acheni ujinga
 
Nyie ndio huwa mnakuja na story za kijiweni nenda ujifunze tamaduni za wamasai vizuri kuishi na wanyama pori miaka na miaka kama huwa wanakula nyama pori. Ndio uje utoe comment
Kuna watu wengine ni Kama hufurahia wengine wakipata na matatizo,Sasa hivi anachekelea akiona Wamasai wanaamishwa kwa nguvu kwenye eneo lao,kisa muwekezaji kapapenda, ngoja siku aje muwekezeji atakae penda kuchukua Kijiji Chao ndiyo ataijua Serekali ya CCM vizuri, wataamishwa Kama Kuku kutoka bandani na hata aamini!! Usicheze na Asali Gang ni noma sana!!!
 
Back
Top Bottom