Yanaitwa Majiji Ila Mwaka Unapita Ujenzi wa Magorofa Mapya Hayafiki 10. Mbeya & Tanga Mjitafakari, Mnazidiwa Hadi na Morogoro

Niko Mbeya kwa Sasa, kila nikitazama nashindwa kuelewa kama Niko kwenye Jiji

Barabara hafifu, yaani ni kama makao makuu ya wilaya.

MBEYA Ina umaarufu usiostahili kabisa.
Hii Sasa ni chumvi,ni kweli Barabara ni chache na finyu na zimechimbika zote ila ni uongo kusema eti sawa na Wilaya.
 
Nakubaliana na wewe,Kwa sehemu kubwa jitihada ya Serikali imechangia lakini Mkuu Kwa Sasa ukitoa Dom huko kwingine ni private sector inachangamkia fursa.

Kwa hiyo badala ya kulaumu sana tujitahidi private sector ikue.

Hata takwimu za abiria wa ndege yaani ni chini ya abiria 10,000 Kwa mwaka View attachment 2865365

Mwisho Kwa Morogoro, Serikali inajenga kipi? Mbona wao wanaporomosha magorofa ya kutosha na marefu?
Hapo morogoro ni takataka hamna cha maana wala hapana hadhi ya kufananisha na Tanga na Mbeya mjini.

Nimeishi Mombasa ule mji kaangalie wakazi wake walivyo na ulipo ,kule kuna watu wanaamkia kweny mirungi ila mji una maendeleo .. Makampuni makubwa yanajenga majengo hapa bongo unashindana na Dar maana Mwanza na Arusha hawasogei kabisa.

Mkoa wa Arusha ni jitahada za kupewa cheo cha utalii ndio yale majengo behind watu bado wana maisha ya kawaida hata majengo ya Dar yale makubwa yanayoleta picha nzuri ya mji ni jitihada za serikali.

Serikali imepanga kuijenga Dodoma hata mseme wagogo ni ombaomba ila mji wao utafika mbali ...Binafsi mimi ningekuwa mwana mapinduzi Tanga ili ipate maendeleo ingepewa uhuru iwe sehemu ya Zanzibar huku bara wanajenga mikoa Dar ,Mwanza ,Dodoma na Arusha basi iliyobaki hata barabara wanazingua.
 
Tanga itakuwa automatically Kwa sababu Ina Bandari na Utalii wa fukwe so ni lazima utaendelea kushamiri.

Ila Kwa Mbeya kazi Bado ipo kubwa sana hasa kwenye majengo.

Ila nasisitiza kwenye Viwanda,Majiji hayo yanafanya vizuri Sana tuu.
 
Ardhi ya Mbeya siyo rafiki sana kujenga ghorofa. Hata kama itajengwa mwisho ni floor 4 tu kwa sababu eneo hilo haliwezi kuhimili uzito mkubwa.

Pia kitakwimu, nyumba za underground nazo ni ghorofa pia.

Hata lile la chawa Mwijaku ni ghorofa.

Sasa sijajua wewe mtoa mada unayazungumzia maghorofa yapi(yepi).
 
Alikudanganya nani? Nikuoneshe majengo yenye Ghorofa 10 Mbeya? Huu uongo Huwa mnautoa wapi?
 
Ardhi ya Mbeya siyo rafiki sana kujenga ghorofa. Hata kama itajengwa mwisho ni floor 4 tu kwa sababu eneo hilo haliwezi kuhimili uzito mkubwa.

Pia kitakwimu, nyumba za underground nazo ni ghorofa pia.

Hata lile la chawa Mwijaku ni ghorofa.

Sasa sijajua wewe mtoa mada unayazungumzia maghorofa yapi(yepi).
Hata hivyo majengo makubwa mengi ni miradi ya biashara kubwa na miradi ya serikali..Chukuli hospital ya Mbeya ila kwa mtu mmoja mmoja sio rahisi kujenga magorofa kuanzia gharama za uendeshaji halafu asipate faida.
 
Ulitaka serikali ijenge hizo ghorofa!!! Ghorafa pekee siyo kigezo cha kupewa jiji, kuna vigezo vingi mpaka Mbeya kuwa jiji
 
Back
Top Bottom