Yaliyojiri uwanja wa Tangamano, Tanga: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli

mwambie huyo tena leo ni siku ya soko hapa tangamano kwaio asilimia kubwa tumekuja kununua bidhaa tunamsubiri Rais wetu

Mkuu hata me nmeliona ilo.watu wamekuja sokoni alfu. wakaskia alikiba mara rubby wakaenda kuwaangalia...na majobless wote wanakula burudan bure
 
Monges wape Wakawa ukweli, najua wanapata taabu sana na CCM. Nashangaa sana wanasema mengi humu ndani, kitu wasichokijua ni kwamba CCM wamejipanga vizuri na bahati mbaya yao ni kwamba hata wote wa humu wanaoiponda CCM na tarehe 25/10 waipigie HAPANA lakini wajue MAGUFULI ni Raisi wa AWAMU ya TANO. Wasubiri 2020 wakati Lowasa atakapofanya jaribio lingine la kugombea uraisi.

"HAPA NI KAZI TU"
 
Hebu Magufuli atupe majibu hapa aache siasa.
1. Kwanini katika madaraja 720 la mto Pangani halipo?
2. Kwanini viwanda vimekufa Tanga? Alikuwa baraza la mawaziri alishauri nini?
3. Mashamba ya mkonge mbona hayaendelezwi na akiwapa wananchi watafanyia nini?
 
Watu watakuja kuangalia show. Ccm bwanaa inalipa mamilioni ya pesa kwa wasanii kufanya show kuwadanganya wananchi. Wakati hospital hazina vitanda. Watu wanalala chini
 
Viwanda vimebaki mabaki. Sasa sijui anaipo nda ilani ya ccm. Ambayo haijaweza endeleza viwanda na badala yake vimekuwa magofu. Porojoooooooooooo tuuu za ccm
 
Watu watakuja kuangalia show. Ccm bwanaa inalipa mamilioni ya pesa kwa wasanii kufanya show kuwadanganya wananchi. Wakati hospital hazina vitanda. Watu wanalala chini

Yaani huku serikalini hela za kuendeshea serikali hakuna kumbe hela zote zimeenda kwa akina diamond and the like. Yaani tumerudia enzi zile za mwinyi mafaili kutengenezwa kwa mifuko ya sementi!
 
Katika juhudi zako za kusaka kura mara ukawa unawatisha wanatanga kama kawaida yako ukatoa mfano wa Libya. Mara ukamtaja Saddam na ukagundua umekosea kisha ukasahihisha hivi.

"Saddam ni wa Kuwait walimtoa Gaddafi" binafsi nimebaki mdomo wazi baada ya kusikia ukisema Saddam ni wa Kuwait nikapata shaka juu ya uelewa wako hata wa ulichokuwa unasema maana mabadiliko ya Libya yalitokea kwa mtutu wa Bunduki lakini ya kwetu yatakuja kwa Ballot box.

Nakushauri ujipe muda zaid wa kujielimisha juu ya mambo ya mataifa mengine pindi unapoyatolea mfano katika kampeni zako ili kuepuka upotoshaji iwe kwa kujua au kutojua.

Ni hayo tu kwa sasa.
 
Kwa kweli Huyu Jamaa Mambo Mengi Hayajui, Nilimsikiliza hata Mimi Nikasema Duuh. Hii Imenikubusha Prof. Wangu Pale SUA Kipindi

Nasoma 1st Degree Sitamtaja Jina" Alipoona Dean of student Ameteuliwa Prof. Aliyesomea Veterinary Medicine Alikosoa Sana Utezi Ule.

Yule Prof..Wa Kihaya Alikuwa Amesomea Mambo ya Uongozi.

Alisema Kumpatia Uongozi Mtu Ambae Amesomea Kutibu Wanyama Sana Sana Mbwa na Ng'ombe Lilikuwa Ni Kosa Kubwa. Alisema

Prof.. Yule Wa Vet Hakuwa na Hata Certificate ya Uongozi, Akasema Ni Vigumu Sana Kuwaongoza Watu Bila Kuusoma Utawala na

Uongozi.Hii Naichukulia Kwa Dr. Magufuli, Kutojua Mambo ya Uongozi bali Eti Hapa Ni Kazi tu; Watanzania tunamuhitaji Kiongozi na Sio \
Mtu wa Kwenda Site Kutenda.
 
Huyu jamaa mambo ya Nje yako kushoto kabisaa.Kwamba SADAM alikuwa wa Kuwait!!!.Au kwa sababu hajasoma Art???.
 
Saddam ni wa Kuwait walimtoa Gaddafi" :A S 41: mwanahistoria mkali kweli huyu Magufuli
 
miye ccm na viongozi wake wananiacha hoi kukomalia udini udin hata kama LOWASA alisema hawanabudi kuipa promo hiyo kauli

kwasababu watanzania hatuna udini sasa wanapoanzisha hayo mambo ya udini nashindwa kuelewa lengo hasa nini

maana magufuri mkatoriki
kwaiyo wale si waluteli na wakatoliki wafanyaje
 
Alafu uu mfano anapenda sana kuutumia sijui kwa nini, yaani wala haoni kama anakosea sana na wenzake wanaona sifa tu
 
Kuna nini ccm mboma wale waliostaafu ndio wapiga kampen ina maana huyu makufuli hama wapya
naoma mambo yatakuwa yale yale kwa ccm hakuns jipya
 
Katika juhudi zako za kusaka kura mara ukawa unawatisha wanatanga kama kawaida yako ukatoa mfano wa Libya. Mara ukamtaja Saddam na ukagundua umekosea kisha ukasahihisha hivi.

"Saddam ni wa Kuwait walimtoa Gaddafi" binafsi nimebaki mdomo wazi baada ya kusikia ukisema Saddam ni wa Kuwait nikapata shaka juu ya uelewa wako hata wa ulichokuwa unasema maana mabadiliko ya Libya yalitokea kwa mtutu wa Bunduki lakini ya kwetu yatakuja kwa Ballot box.

Nakushauri ujipe mufa zaid wa kujielimisha juu ya mambo ya mataifa mengine pindi unapoyatolea mfano katika kampeni zako ili kuepuka upotoshaji iwe kwa kujua au kutojua.

Ni hayo tu kwa sasa.

Moderators sina lengo baya kuanzisha uzi huu hivyo uacheni ulivyo hata kama hamuupendi.

Na lile fisadi kuu liliposema "ccm oyee" alikosea au uelewa wake unatia shaka?
 
Katika juhudi zako za kusaka kura mara ukawa unawatisha wanatanga kama kawaida yako ukatoa mfano wa Libya. Mara ukamtaja Saddam na ukagundua umekosea kisha ukasahihisha hivi.

"Saddam ni wa Kuwait walimtoa Gaddafi" binafsi nimebaki mdomo wazi baada ya kusikia ukisema Saddam ni wa Kuwait nikapata shaka juu ya uelewa wako hata wa ulichokuwa unasema maana mabadiliko ya Libya yalitokea kwa mtutu wa Bunduki lakini ya kwetu yatakuja kwa Ballot box.

Nakushauri ujipe muda zaid wa kujielimisha juu ya mambo ya mataifa mengine pindi unapoyatolea mfano katika kampeni zako ili kuepuka upotoshaji iwe kwa kujua au kutojua.

Ni hayo tu kwa sasa.

Moderators sina lengo baya kuanzisha uzi huu hivyo uacheni ulivyo hata kama hamuupendi.

Unaona ajabu nini wakati Saddam alipata umaarufu zaidi alipoivamia Kuwait?
 
Yani ni ajabu nina wasi wasi ajiekuwa kama Mulugo ikawa aibu kubwa.
 
Alafu uu mfano anapenda sana kuutumia sijui kwa nini, yaani wala haoni kama anakosea sana na wenzake wanaona sifa tu

leo ni mara ya tano kwa mikutano tofaut tofauti.
jamaa ni mweupe kichwani .hafai kuwa rais huyu jamaa.
na hata hizo data anazotuambiaga ni uongooooo.
mara barabara sjui ina km ngap. ni uongoooo
 
Back
Top Bottom