YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Ndiyo mambo yenyewe hayo. Tuyategemee miaka 5 ijayooooo. Kweli watz ni MALOFA NA ni WAPUMBAVUUUU. Kumbuka, Mh. Rais alikuwepo na kufurahiya, Mzee Ruksa alikuwepo na Mzee Lofa alikuwepo na Hata huyo Rais Mtarajiwa aliyaangalia hayo. Shida yangu, ni yule mama wa watu waliye mburuzia hapo na uchaji wake tuu jamani. Pole zako mama yetu, sidhani ka kule Zenj aliwahi kuyashuhudia hayo. Nasema, Malofa na Wapumbavu ni hao walio yaangalia hayo na kukenua mimeno

Telling u ilikuwa balaa
 
binafsi sio mshabiki wa siasa ila dar ni jiji
kupata sifa ya jiji sio bure...watu ni wengi na wana mawazo tofauti...
Usijidanganye...
Pale ni jiji kila chama kina watu tena wengi tu...city of many culture...
Wale watu wamekuja kwa ridhaa yao...na pengine wengine wamesaidiwa usafiri sio hela...
Na chama chochote hasa chadema wakifanya mkutano watajaza vilevile pengine na zaidi...
Acha kupotosha jamii na kumsingizia mama aliyekuzaa...unajilaani...

mkuu maingizo mwaka huu ni mengi iweje leo unaanza gafla kupanda bodaboda wakati wa kwenda ikulu muda mwingine ulikuwa wapi? Mimi binafsi nasubili midahalo maana naona maingizo ni mengi sana mitaani,
 
😂 😂 😂 kweli we Lofa, mbona shillingi ya nyerere Inayo hiyo logo, viroba vinginevyo msinyweeee
 
Kauli hii inamhusu aliyeitoa kwani hata mkewe si wa ukoo wake na anamshauri na kumwongoza kwa mambo mengi ya msingi. Naye atakuwa amemdharau? Wanajf tunapopingana tuwe tunazipima kauli kwa pande zote ili kuleta usawa. Kauli ya mheshimiwa iliashiria hasira za kukimbiwa na familia aliyoitunza na kuilea na inaashiria kushindwa vibaya ambapo yeye alishatabiri na kukionya chama chake.
 
Malofa na wapumbavu ni wale waliotandikwa na ccm na bado wanawapigia kura na kwenda kwenye kampeni zao,na gesi wamenyang'anywa
 
Ukiona watu wanatoka chama kingine na Kuja kwenye chama chenu kisha watu hao hao wakataka kuwaongoza basi mjue watu hao wamewadharau sana.... Hii kauli ina ukweli mtupu.

Kamwambiye kuwa, hata yeye alikuwa jeshini akaacha kutafuta vyeo vye jeshi akaja kuomba malofa awaongoze. Full Stop. Asiendelee kuwatukana watu. Alisema anataka kampeni za kistaarab, huo si ustaarab. Aeleze jinsi ya kumsaidia Mtz maskini, wala si kumtusi
 
Kauli hii inamhusu aliyeitoa kwani hata mkewe si wa ukoo wake na anamshauri na kumwongoza kwa mambo mengi ya msingi. Naye atakuwa amemdharau? Wanajf tunapopingana tuwe tunazipima kauli kwa pande zote ili kuleta usawa. Kauli ya mheshimiwa iliashiria hasira za kukimbiwa na familia aliyoitunza na kuilea na inaashiria kushindwa vibaya ambapo yeye alishatabiri na kukionya chama chake.

Umeongea na kutoa mfano wenye maudhui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom