YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Hii sub ya CCM imenifurahisha sana unamtoa Lowassa na Sumaye unamuingiza Mzee Warioba anakamata dimba la chini wakati mwingine anapanda midfield ya juu kwenye shimo kugawa mipira ni shidaaah!
 
ok tuache ushabiki wa kisiasa sasa tuongee ukweli


huyu jamaa anaitwa Mpanju ambaye ni mlemavu asiyeona ama KIPOFU anasema ilani ya CCM UKIITAZAMA imewajali watu wote! sasa kama kipofu alionaje😂😂😂😂😂
 
Huyu warioba naona amekosa washauri.

Amesahau kuwa heshima ni kazi kubwa sana kuijenga ila ni rahisi sana kuibomoa.

Yani ni bora angejiuzulu siasa na kubaki na heshima yake aliyojijengea kwenye tume ya katiba.
 
pole aiseee!!! Najua roho inauma sana ndio maisha yalivyo.

Roho iniume kwa Domo K**bwa! Nilichomsikitikia ni kuharibu wimbo wake kwa kuimba hovyo! Kama hujui unachokiongea usijibu hovyo ka uko chooni! Maana unaonyesha dalili za unachokifanya Ukiwa na nzi utaimba ka nzi!
 
Hakika leo nimeona Tukio la Ajabu sana Katika Ufunguzi wa Kampeni ya CCM, naona Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiriko ya Katiba Jaji Joseph Warioba ambaye kwa kipindi hiki cha mchakato wa katiba mpaka sasa mzee huyu alionekana ni Adui No 1 wa CCM ila naona ajabu kubwa leo CCM wanamshangilia na anapewa nafasi kuinadi CCM. Aisee hya kwangu naona ni Maajabu makubwa.
Walimpiga mpaka na chupa za maji! Magufuli akishinda atasimamia katiba ipi?
 
Hayo ni baadhi ya majina yaliyomo kwenye list of shame yaliyotangazwa pale mwembe yanga na chadema au ulitaka haya mjina yatajwe kanisani (KKKT) hizo ndo kampeni kaka amka na wewe kawataje unaowataka
 
Duhh hii thread ina post chache sana nini tatizo???

hamna wanywa viroba na nyumbu wanakesha kwenye mitandao. La pili watasema nini wakati waliaminisha ccm haina watu? Mwenye macho haambiwi tazama. Walituaminisha fisadi mkuu nchini ni Lowassa lakini leo wanalamba miguu yake na mgombea wao,sasa uongouongo mwisho wake ndio huu hawana cha kuandika
 
Najiuliza tu kwa sauti, je kama leo CCM wasingebeba watu na malori ingekuwaje?
CCM imechokwa jamani acheni kujifariji!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom