YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

mbona huendelei kutupa live update kutoka eneo la tukio au sahivi upo busy na kuwakaribisha wazungumzaji wa siku ya leo hapo meza kuu!!! binafsi sijaweza kufika huko kwani niko jimboni kwangu MTAMA bt hii isiwe kesi chamsingi naomba unifikishie shukrani zangu kwa mwenyekiti kwamba, pamoja na changamoto zote hatimaye amefanikiwa kuimarisha ushindi wa UKAWA na kuizika rasmi CCM.

Kanogewa huyo
 
Tangazo linasema mkutano wa uzinduzi wa kampeni kwa wagombea wa CCM utaanza saa tano asubuhi na kumalizika saa kumi na mbili jioni. Sasa inakwenda saa tisa na nusu na hakuna update yoyote ya maana ya nini kinasemwa/kimesemwa na ama wagombea wa CCM au viongozi wa chama hicho. MwanaDiwani aliyeanzisha uzi kimya. Ni ushabiki tu unaendelea. No substance.#Horse race mentality.
 
Wakati Mbowe anawakutanisha Lowasa na Sumaye. Leo Jakaya anawakutanisha Diamond na Wema Sepetu Jangwani. Duuh noma sanaaa

TEH Teh! teheee!!!

Kweli Nchi yangu imepitia wakati mgumu sana kwa kipindi cha miaka 10
 
Maskini Mbasha anaogopa kwenda Jela ikabidi ajiendee tu na nguo zake za ubarikio. Jela pabaya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom