Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 962
- 2,347
msiwe na wasiwasi JF itaoparate toka nje ya nchi
MkuuAcha tu kuandika upuuzi, hakuna dawa nyingine
Nafikiri ni kwa kuwa wamekuwa wakosoaji wa Sizonje, tofauti na wewe chura unayeitikia kila wimboKwanini baadhi ya wamember huku JF wana wasiwasi sana na hii move?
Hilo haliwezekaniKuna tatizo, Melo akubali tu kutoa ushirikiano ili tuendelee kuwepo
Hebu nielekeze nije nile aisee,njaa inaniumaMie nawakaribisha wanitafute muda wowote niko Mwanza mjini, ni mama ntilie hapa mjini kwa raha zangu. Lakini penye ukweli tutasema maana hata katiba ya changu kwenye madhumuni yake inasema kuwa nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko
Gharika ubeba wote.kwa hiyo usidhani utasalimika.Kuna tatizo, Melo akubali tu kutoa ushirikiano ili tuendelee kuwepo
Mm nimeuliza kiungwana tu wewe unanitusi nashukuru imenisaidia kujua sababu ya watu kuchawachawa kwa matusi kama haya nadhani na ww nimoja wapoNafikiri ni kwa kuwa wamekuwa wakosoaji wa Sizonje, tofauti na wewe chura unayeitikia kila wimbo
kabla hatujaagana utakunywa soda moja ya baridi nakuja kulipa.Nafikiri ni kwa kuwa wamekuwa wakosoaji wa Sizonje, tofauti na wewe chura unayeitikia kila wimbo
Njoo hapa soko la samaki mwaloni, soko la kimataifa. uliza dada anayepika chakula kitamu kuliko woteHebu nielekeze nije nile aisee,njaa inaniuma