Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

Simple mathematics, Jamaa kalamba bilioni 321, akiamua kuwapa jamaa wa Mjengoni ten million each sidhani hata bilioni nne itazidi, suppose jamaa mhaya akatenga bilioni kumi kwa majamaa wa mjengoni unategemea nini zaidi ya mafisadi kutetewa? tusitegemee muujiza wowote na hakuna yeyote atakayewajibishwa.....usicheze na pesa wewe...hasa ukizingatia mwaka kesho ni uchaguzi kila mtu kashavuta chake.....ngoja nikawalishe Kware wangu....
 
Anaaibisha wanawake


Halafu anavyoruka ruka kama anasutana....

Tuna tatizo kwenye kuchagua wabunge wallah




Hivi izi kamati wanawekwa tu kujaza nafasi maana huyu mama anaongea pumba pumba tupu yeye na ndasa pipa na mfuniko
 
Mama kama anawashwawashwa mgongoni jamani. Huyu sijui kajaaliwa mume au hana? Mwenye kumiliki mzigo huu ana kazi kwakweli.
 
Hakuna jambo baya kama kuonyesha ujinga wako hawa wote wanao ongea sasa wamejidhalilisha sana
 
mimi nilikuwa ccm lakini pumbafu zao hawa washenzi sana sana .. ela wamekula alafu wanaongea ushenzi tu bungeni..hawa wabunge wa ccn washenzi. tu.. madawa hakuna mahospital wao wanatete ushenzi

Unatukana kwa sababu ndivyo ulivyolelewa! Huwezi kukulia uswahilini halafu ukose matusi. Matusi ndiyo chai na chakula cha mchana kwenu ila jitahidi kurekebika
 
Wewe mama namashaka na uanamke wako kweli kabisa unaona hili ni sawa wakati wanawake wenzio wanajifungulia chini hawana hata dawa huko hospital.
 
nani akampa airtime huyu hajui hata kutetea anachoongea
nahisi yuko NYEGEzi
 
Wewe mama unatuaibisha wanawake wenzako ah!! Hivi utasemaje waziri mkuu halimuhusu,utasemaje Muhongo hausiki,utasemaje PAC ni upinzani,jinga kabisa wewe mama...

Yaani huyu mama anavyoongea natamani nilie kwa kweli.........hawa wabunge wamejipanga kutetea wezi bila hata kujua anazungumzia nini
 
nipo form 6 ila siku nikipata kazi mshahara wangu wa kwanza nitanunua bunduki kwa ajili ya watu kama huyu mama
 
Watanzania hatuna bunge zaidi ya wabunge maslahi. Yaani wezi wa pesa za umma wanakingiwa kifua waziwazi. Maskini watanzania!!
 
Back
Top Bottom