Yaliyojiri ACT-Wazalendo huko Kigoma

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Usipitwe...Jiunge nami Hapa Niwe Nakutumia Habari Moja Kwa Moja Mara tu Zikitokea ...






Kampeni meneja Habibu Machange akiongea na wakazi wa mji wa Kigoma



Moses Machali akiongea na wana Kigoma



Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mama Anna Mgwira akiongea na wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini,jimbo ambalo Zitto Kabwe anawania Ubunge


















BOFYA HAPA CHINI UONE MAFURIKO YA HATARI YA MGOMBEA


source Malunde Blog

 
najiuliza tu chama kisicho na ruzuku ..............................
 
wakipata wabunge ata mmoja apo ndipo unaweza ukasema ni chama ila kwa sasa icho sio chama ni kama washabiki ambao wanawaangalia wakimbiaji
 
Ninasikitika kwamba jimbo la kigoma mjini chadema watashinda..... Hii imetokana na utafiti uliofanywa na Gft....

Imeoneshwa kwamba jimbo hilo siasa zinaendeshwa kidini... Hapa namaanisha kwamba kura za Kaburu (ccm) ambaye ni mwislam na ndugu yangu Zitto hazitaongezeka.... Zinabeba zaidi kura za mwandiga na Ujiji....

Sasa kuna huyu anayeitwa Daniel ...Mwanasheria... Anaonekana kuungwa mkono na wana chadema...wana ccm...na wasio kuwa na vyama...huyu ndiye atakaye kuwa mbunge wa kigoma mjini

Zitto jambo linalomghalimu ni ile hali ya kuhama jimbo ...zitto hasemi ni kwa nini amehama jimbo lake la kale....

Tusubiri
 
Ikitokea Zitto apate wabunge 3 ,halafu pia itokee Dr Slaa kwa hasira alizonazo ahamie ACT,pamoja na Lipumba.
Zitto atasumbua kwenye urais come 2020.
 
ACT wakiwa Kigoma wanakuwa na nguvu kama za mamba anapokuwepo ndani ya maji ana weza akamzamisha Tembo pamoja na ukubwa wake,nchi kavu ni mdebwedo hata mjuzi ana weza akashindwa kukamata.
 
Back
Top Bottom