SoC02 Yajue magonjwa ya afya ya akili katika kupata hisia

Stories of Change - 2022 Competition
Mar 17, 2022
18
6
Paraphilias
Hii ni tatizo ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI kwa kupitia vitu ambavyo sio binadamu,kwakuumizwa au kuumiza na kwa watoto
Aina za paraphilias.

1 fetishistic
Hili ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI pale tu kwakutumia vitu ambavyo sio binadamu mfano kutumia mkono yaan masturbation.

2 cross dressing
Hili ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI pale tyu atakapo vaa nguo za tofauti na jinsia yake mfano wakike avae nguo za wakiume na wakiume vivyo hivyo.

3 vouyer
Hii ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI pale tyu anapochungulia watu wanaofanya tendo la ndoa.

4 exposing
Hii ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za kimapenzi pale tu anapoonesha sehemu zake za Siri kwa watu yaan kutembea uchi.

5 touching
Hii ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za kimapenzi pale anapojigusisha kwa mtu mwingine bila ruhusa au kujifuta.

6 sadism
Hili ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI pale tu akimusababishia maumivu mwingine Kama kumpiga.

7 masochism
Hii ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za kimapenzi pale tu akiumizwa.

8 pedophillic
Hii ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za kimapenzi na watoto nakupelekea kubaka.

NB: Haya ni matatizo ya kihisia ambayo yanahitaji kuaptiwa Tiba ya kiakili.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom