.....Kama wasomi wenyewe ndio design yako wewe unaeandika pumba kiasi hicho, basi nakuunga mkono kuwa ccm inapendwa na wasomi. Katika research yoyote ile lazima uangalie hiyo sample size kama ni true representative ya whole population na kama design ya research ipo sahihi. Unataka kusema hao vijana uliowataja ni % ngapi ya population ya vijana wasomi wote waliopo Tz?kinachosemwa ni kuwa CCM inawapa fursa vijana wasomi..,kwani CCM ilishindwa kuwateua wazee wasiokwenda shule wenye uzoefu na wakaweza kuongoza kwa ufanisi tu hizo wilaya na mikoa..? ila tafiti zimejaribu kuonyesha kuwa CCM inawajali , kuwaamini na kuwatumia vijana katika shughuli mbalimbali za Chama na Serikali kwa Ujumla.