Ya Mbagala Na Bedui Aliyekojoa Msikitini...

Hoja kama hizi za kina Mjengwa huwa zinzkuwa wapi kabla ya matatizo? Zingesaidia sana kuondoa giza machoni pa wengi

hawawezi jibu hili swali.Hizi habari ni za kuleta baada ya makafiri kuonja shubiri wana jihad hawa.Ndipo utasikia kuw ausilam ni dini ya mani,utasikia kuwa uslam ni uvumilivu.Mwenye akili kichwani atajua unafiki uliopo na magwanyo wamajukumu katika jihad.

Huta sikia haya msikitini wala ktk mihadhara.Huko utasikia MOU, palstina, Muungano etc.Ili watu wajae jazba,na yakitokea haya yaliyotokea basi hawa jamaa wakishirikiana na useful ****** wa kikafir watabaki wakihubiri matope ya amani, matope ya kuwa ni wachache wanoachafua dini sijui na nini?Umewahis jiuliza .Inawezekanaje hawa waislam washari na wenye uchu wa kuwahi ktk kumwaga damu wakawaachia hao wachache wachafue dini wanayouipenda kuiko uhai wao?Ukipata majibu ndipo utafahamu kwanini hii dini imekuwa perfectly deisgnd to adopt evil ways.
 
Free World
Yule mama alijibu kwa jeuri 'si makaratasi tu hayo'

Mkuu, hii imenikumbusha siku nilipodondosha laki mbili na mbuzi wakipita. Wakazivamia! Niliwashambulia huku nikipiga mayowe waziachie zile noti. Wengine walikimbia nazo. Bahati nzuri mbuzi hali kitu najis kwake kwa hiyo noti zote nilizipata na kuziokota. Kwa yule mama (nadhani hakwenda shule naye) hicho "kitabu kitakatifu" ni sawa na cha "Hisabati kwa Shule za Msingi". Aliyejua ni "kitabu kitakatifu" ni yule mtoto aliyemkabidhi "bedui" akikojolee ili kimgeuze awe nyoka! Hivi angegeuka nyoka ingekula kwake lakini nchi ingekuwa ya "hija". Sasa yule mtoto aliyetoa kitabu kafanywa nini?
 
Back
Top Bottom