Ya kuhuzunisha pia tunao waTanzania wanaoishi Finland wakiwemo JF Members

ngoja niwachekesheni kidogo kipindi nikiwa kenya narusha ndege
tulilala sehemu huko mashenzini...tukiwa nyt sto[ tulikuwa na mazoe ya kwenda sehemu
kupata nyama na pombee..baadae wanaondoka na looseball yaani bar bed
ikawa ndo kamchezo sasa siku moja uo mzigo ukajiwa na watu kama 4 na wote wanataka
kuruka nao,..ikabidi synorite ifwate mkondo wake ikaja kati ya 4 marubani 2 yaani mkuu na msaidizi wake...duh ikabidi first offiser awe mpole Capt achukue ngoma akaikokota usiku wee mzee alikuwa chakali chakali...ilipofika asbh mzee akachelewa kuamka huku muda wa dep unakaribia akamshtua mazee wake fasta twende,..mwanamke akaamka akiwa anaenda kuoga akamwona nyuma amekula mabaka mabaka kama mamba kuangalia uswazi mzee akawa hoi
alipofika reception akaishia kusema"""KAMA AMENIUA MI NAMWACHIA MUNGU""
"""KAMA AMENIUA BASI""hiyo ni asubuhi....nenda uganda ukaulize yule dk kaenda na wangapi watu wamama wenye akili zao wake za watu kazi azifanyiki huko uganda we!!ukipona shukuru ukipata mwachie MUNGU

Ndugu Ogopa TBL na mahasimu wake ......usiku mwema

....:D:D:D
hii 'lafudhi' yako bado naifanyia kazi originality yake.

...anyway, I bet wewe ndiwe ulikuwa 1st officer ulonyang'anywa tonge mdomoni, ha ha ha....
bahati yako.
 
Kesi ya Mdada Rachel iliendelea hapo jana, Zaidi anadai kuwa alikuwa akitumia kondom ya kike...
Photo0339.jpg


Photo0340.jpg
 
hii hatari. huku ulaya mitaa kibao nikipita mida ya saa nne usiku, blacks kibao wanazurura kutafuta pesa, wanajiuza laivu. wakenya wamejaa huku, wanijeria ndo usiseme..balaa tupu. ukiona wamekuja ulaya hawana cha kufanya, hawasomi shule au kufanya kazi ya maana, kilichobaki kwao ni hicho tu, hakuna kingine, kujiuza.

lakini wanasababisha wazungu waanze kupima ngoma kwanza kabla ya kutoa visa sasa...pia nahisi haki za binadamu za uyo dada zinavunjwa hapo, na wafinish walivyo wabaguzi wa rangi, namuonea huruma.
 
Kibunango natamani kusoma hayo maelezo kwenye gazeti lakini hata sijui nianzie wapi..
 
mnapiga midomo hapa mbona hata wenye akili punguani, vipofu, vilema wanapata mimba???? hao nao sio wanaume???? stop being so defensive ati zipu huwezi fungua ....mmmm
 
Hapa Dar kwenyewe katika zile kona matata wakati wa usiku wapo kina dada ambao sura zao zinatisha maana ukimwona mchana utadhania jini ---ni wabaya wa sura wa kupindukia
 
Back
Top Bottom