Wow!

Neno hilo hapo lina maana gani ktk kiswahili

Hahaha. Mr Creative, Elewa hivi: (nitachanganya kiingereza na kiswahili)

Neno "wow"! ni moja ya maneno yanayoitwa "exclamations au interjections" katika lugha ya kiingereza. Haya huitwa VIHISISHI kwa kiswahili. Maneno kama hayo hutumika kuonyesha hisia za mtumiaji anapokuwa kutokana na hali fulani., au habari fulani au kitu fulani alichosikia, kuoona, kuhisi n.k. Yapo ya aina nyingi: yanayoelezea hisia za furaha, uchungu, huzuni, mshangao etc. Yakitumika lazima yaandikwe yakiwa na alama ya mshangao ! (exclamation mark !) na yanakaa mwanzoni mwa sentensi. Kinachotakiwa ni mtumiaji ajue ana hisia gani ili aweze kutumia kihisishi sahihi kulingana na hali halisi. Ukikosea kutumia inaweza kumfanya msikilizaji asikuelewe-akidhani msiba wake wewe umeufurahia, au ushindi wake wewe hujaufurahia n.k

Mifano ya matumizi sahihi ni hii:

1 Wow!-hutumika kuelezea hisia ya furaha. Kufurahia jambo. Mf. Wow! I have won the lottery!; Au mtu anakuambia "my son has passed his exams" Ukisema wow! inaonyesha umefurahia. Wakati mwingine pia kama huamini kilichotokea (yaani kitu kizuri tu) unasema wow!.

2 oh! hutumika kuonyesha hisia za huzuni au kukata tamaa. oh! I have missed the bus (au oh! no!)
3 ugh!-kuonyesha kukerwa na kitu
4 Mengine ni Hurrey!, ghosh!, yeah! n.k

Kama nilivyosema kama hujui kuyatumia mahali pake ni bora usitumie kwani utaharibu kila kitu-hasa unapoongea na wenye lugha yao asili wanaojua vema kinachomaanishwa kila kinapotumika kihisishi fulani. Itakuwa kituko kama utaambiwa kuna mtu kafariki ukasema wow!; au rafiki yako kipenzi kashinda bahati nasibu ukasema oh! .

Interjection, Meaning and Examples (usage)
ah!
expressing pleasure
"Ah, that feels good."
expressing realization
"Ah, now I understand."
expressing resignation
"Ah well, it can't be heped."
expressing surprise
"Ah! I've won!"
alas!
expressing grief or pity
"Alas, she's dead now."
dear!
expressing pity
"Oh dear! Does it hurt?"
expressing surprise
"Dear me! That's a surprise!"
eh!
asking for repetition
"It's hot today." "Eh?" "I said it's hot today."
expressing enquiry
"What do you think of that, eh?"
expressing surprise
"Eh! Really?"
inviting agreement
"Let's go, eh?"
er!
expressing hesitation
"Lima is the capital of...er...Peru."
hello, hullo!
expressing greeting
"Hello John. How are you today?"
expressing surprise
"Hello! My car's gone!"
hey!
calling attention
"Hey! look at that!"
expressing surprise, joy etc
"Hey! What a good idea!"
hi!
expressing greeting
"Hi! What's new?"
hmm!
expressing hesitation, doubt or disagreement
"Hmm. I'm not so sure."
oh, o!
expressing surprise
"Oh! You're here!"
expressing pain
"Oh! I've got a toothache."
expressing pleading
"Oh, please say 'yes'!"
ouch!
expressing pain
"Ouch! That hurts!"
uh
expressing hesitation
"Uh...I don't know the answer to that."
uh-huh
expressing agreement
"Shall we go?" "Uh-huh."
um, umm
expressing hesitation
"85 divided by 5 is...um...17."
well
expressing surprise
"Well I never!"
introducing a remark
"Well, what did he say?"




Kiswahili:
loh!, alaa!, du!, mashallah!, ewaa!, jamani!, n.k
NB Usije ambiwa "baba yako amegongwa na gari" ukasema mashalaa!

Naamini nimejaribu.
Tuendelee kujifunza.
 
senior , i like ur post, great..

kuna hadith niisoma yeye jamaa alipokua akishangaa alikuwa akisema.." great snakes...!!!"
 
Back
Top Bottom