Worries za mishahara mwisho mwezi

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
7,333
3,896
jamani wenzangu ni kama mimi kwani inapokaribia mwisho wa mwezi napatwa hamaniko kubwa moyoni.

Nikiwa mtumishi wa serikali mwisho wa mwezi unapokaribia kuna mambo yananitia tumbo joto:

1. Makato ya mikopo niliyokopa kupitia nmb, saccos , egumba na bayport

2.Tetesi kwamba serikali inadunduliza pesa za kutulipa toka 2011 uanze.
 
Tafuta njia nyingine (halali) za kujiongezea kipato. Je wewe ni mzuri katika nini? Ni kitu gani ambacho ndungu na jamma zako huwa wanakusifu? Mfano kama wewe bingwa wa kuishi vizuri na watu basi unaweza kutengeneza pesa kwa kuandika ripoti fupi ya jinsi ya kufanikiwa katika hilo halafu ukauza mtandaoni.
 
tafuta njia nyingine (halali) za kujiongezea kipato. Je wewe ni mzuri katika nini? Ni kitu gani ambacho ndungu na jamma zako huwa wanakusifu? Mfano kama wewe bingwa wa kuishi vizuri na watu basi unaweza kutengeneza pesa kwa kuandika ripoti fupi ya jinsi ya kufanikiwa katika hilo halafu ukauza mtandaoni.

nimekusikia mkuu
 
Pole sana kaka. Na vipi mwezi huu michango ya harusi???

jamani wenzangu ni kama mimi kwani inapokaribia mwisho wa mwezi napatwa hamaniko kubwa moyoni.

Nikiwa mtumishi wa serikali mwisho wa mwezi unapokaribia kuna mambo yananitia tumbo joto:

1. Makato ya mikopo niliyokopa kupitia nmb, saccos , egumba na bayport

2.Tetesi kwamba serikali inadunduliza pesa za kutulipa toka 2011 uanze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom