Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,157
- 10,655
aiseee we are almost there in top 20 no?
Yeah, when you turn the list upside down.............
aiseee we are almost there in top 20 no?
Tanzania mbona cjaiona hapo?
kuna tatizo hapa,sisi hatuwezi kukosa kuwa ktk top 10.
Guess who is protecting the president....Hao hao wanaopigia kelele utawala bora
Yaani hawa jamaa ni mashetani wakubwa. Hata Gadafi angewaruhusu kuiba mafuta ya Libya wasingesaidia kumuua. Kwa maana pamoja na Gadafi kuifanya Libya kama kampuni yake binafsi na familia yake, lakini wananchi wa Libya hawakuwa na shida ya maisha. Kila mmoja alikuwa na uhakika wa mlo na nyumba nzuri. Fikiria hawa Equatoria Guinea yaani popualtion haifiki hata milioni moja na kwa utajiri walionao ilitakiwa kila mmoja apate mgao toka serikalini wa angalau USD 1000 kila mwezi.
Yeah, Kwa sasa GDP ya Tanzania ni kubwa zaidi ya ZIMBAMBWE... na inaelekea kuipita ya KENYA kama hatukimbiza pesa USWISI
Mfano Mzuri ni UMEME tunatumia GAS; Inasemekana tunaokoa $ 1 BILLION ya kununulia OIL NJE sababu tunatumia GAS ya SONGOSONGO...
Mkuu hawa jamaa wa west huwa hawatuhesabu kama sisi waafrika nasi tu binadamu tunaohitaji kuwa na maisha bora. Maisha duni kwetu ni furaha kwao ndo maana hata kidogo tulichonacho wanatunyang'anya na ikibidi hata kwa mtutu wa bunduki kama wanavyofanya huko DRC. Hapa kwetu wametuletea jasusi wao Rostam Aziz ambaye sasa yuko kwa jina la Symbion ili aendelee kuifilisi nchi kupitia biashara zake haramu ikiwemo kulifilisi shirika letu la umeme ili tusipige hatua katika maendeleo maana wanajua kuwa injini ya maendeleo ni nishati ya uhakika.Ndio maana yake mkuu...hawataki kabisa jamaa aguswe maana wanakula mafuta ya Guinea kwa upole wakati wanajua jamaa anawatesa sana watu wake. Double standard za western countries!
hata 20 hatupo angalia hapa 20 Poorest Countries In The World 2012 ‹ The Richest People In The World 2012
Equatorial Guinea na Petroli... Inasikitisha GDP ya kila mtu ni sawa na $ 27,000 lakini ni ya pili kwa Umaskini Duniani
Pesa ZOTE wanazoingiza zinakwenda kwa RAIS na MTOTO wake aliye na Majumba HOLLYWOOD na ndege za kubeba Magari ya kifahari
Ni aibu... KWELI SISI TUTAKUWA HIVVYO?? VIONGOZI wetu Midomo imefungwa wakati sisi kwa sisi tunagombana...
Equatorial Guinea, Middle Africa
Poverty rate: 76.8%
Population: 720,213
GDP: $19.79 billion (99th lowest)
GDP per capita: $27,478 (40th highest)
Kwani Indices gani imetumika hapa? Nilidhani mara nyingi hawa jamaa wanao rank hutumia GDP sikutarajia Nchi y Theodore Obiang Nguenma kuwepo hapa???
Lakini pia kwa kuwa ni ranking na kila nchi ina maisha mazuri haimaanishi kuwa hizi nchi ni maskini sana isipokuwa lazima kuna wa mwisho tu. Pia siamini somalia haipo?? ati Zimbabwe is poor than Somalia?? Mara nyingine hizi indices zinatolewa na wazingu zahitaji challenge kidogo