World's Richest People

victor11

Member
Feb 24, 2011
67
7
Forbes list of world's richest people

Name
Wealth
Main business

Source: Forbes magazine

Carlos Slim
$74bn
America Movil, telecoms

Bill Gates

$56bn
Microsoft, software

Warren Buffett

$50bn
Berkshire Hathaway, investment

Bernard Arnault

$41bn
LVMH, luxury goods

Larry Ellison

$39.5bn
Oracle, software

Lakshmi Mittal

$31.1bn
ArcelorMittal, steel

Amancio Ortega

$31bn
Zara, fashion

Eike Batista

$30bn
Mining, oil

Mukesh Ambani

$27bn
Reliance Industries, Petrochemicals to oil

Christy Walton

$26.5bn
Wal-Mart, retail
 
Wamemsahau Hosni Mubarak!

ni kweli unachosema japo unaongea kimzaa , ukweli ni kwamba Dunia inao matajiri wakubwa kuliko hawa jamaa walitajwa hapo. ispokukwa ni kwamba hawa jamaa wanaoandikia wanaandika majina ya matajiri wenye fedha safi tu, ambao wanalipa kodi lakini kuna wengi wenye fedha wanawaacha kwa sababu fedha zao zinawalakini mfano . familia ya rais wa libya ndiyo familia tajiri pengine kuliko zote Afrika au Dunia wana utafiri wa $ 80 bn , mubarak 67bn lakini pesa zao zinazua maswali mengi walikozipata. majina ya hao matajiri yameambatana na majina ya kampuni wanazomiliki.
 
Wengine wanaficha utajiri wao.
Nafikiri wapo matajiri zaidi yao tena huku huku kwetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom