World's Famous People (Photos)

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Tafadhali tukumbushane watu maarufu duniani.
Yeyote unayemuona kuwa ni maarufu au alikuwa maarufu kwa mtazamo wako , tupatie picha yake.
Kama ukipenda, taja umaarufu wake.
 
hasheem-thabeet.jpg

Hasheem thabeet.....wa Memphis grizzlies
Nashville4Africa+Benefit+Kgr6B5UHWSVl.jpg
 
Wadau nadhani wakati umefika watu tuwe makini hasa watanzania tuwe na uelewa bwana kabwe mimi nafikiri ni maarufu tanzania sijui kama ni maarufu duniani.

KAHINDA,
Unanishangaza,
Tanzania iko nje ya Dunia?
Uelewa wako ndo huo mkuu?
 
KAHINDA,
Unanishangaza,
Tanzania iko nje ya Dunia?
Uelewa wako ndo huo mkuu?

Point hapa ni kuwa unaweza kuwa maarufu Tanzania (kama Twanga Pepeta, Makwaia wa Kuhenga na Pinda) lakini usiwe maarufu worldwide.

Inabidi tuutafsiri umaarufu huu unatakika kwa kiasi gani, kiasi cha mtu kuonyeshwa picha na kumtambua muhusika instantly?

Watu walio truly maarufu dunia nzima ni wachache sana, I would say kina Obama,Jordan, Michael Jackson, Mike Tyson, Muhammad Ali, Mandela, Malcolm X, JFK na watu wa Caliber hiyo.
 
Kuendeleza list ya Bluray,

Mother Teresa
Princess Diana
Pope John Paul II
Queen Elizabeth
 
Wadau nadhani wakati umefika watu tuwe makini hasa watanzania tuwe na uelewa bwana kabwe mimi nafikiri ni maarufu tanzania sijui kama ni maarufu duniani.
hata tanzania si maarufu....
 
Tafadhali tukumbushane watu maarufu duniani.
Yeyote unayemuona kuwa ni maarufu au alikuwa maarufu kwa mtazamo wako , tupatie picha yake.
Kama ukipenda, taja umaarufu wake.

Alikuwa Kiongozi mwenye wafuwasi wengi kuliko kiongozi yoyote katika wakati wake
 
Attachments

  • hitler_cardinal4.jpg
    hitler_cardinal4.jpg
    18.7 KB · Views: 101
  • LudWigMuller2.jpg
    LudWigMuller2.jpg
    42 KB · Views: 92
  • FriedrichCoch.jpg
    FriedrichCoch.jpg
    38.8 KB · Views: 86
  • Hitler&Church.jpg
    Hitler&Church.jpg
    18.6 KB · Views: 137
  • hitler4.jpg
    hitler4.jpg
    31.3 KB · Views: 95
  • hitleratchurch.jpg
    hitleratchurch.jpg
    22.4 KB · Views: 84
  • Hitler-with-Muller.jpg
    Hitler-with-Muller.jpg
    49.9 KB · Views: 96
  • HitlerWithFan.jpg
    HitlerWithFan.jpg
    13.5 KB · Views: 86
  • NaziFlagCathedral.jpg
    NaziFlagCathedral.jpg
    110 KB · Views: 99
Point hapa ni kuwa unaweza kuwa maarufu Tanzania (kama Twanga Pepeta, Makwaia wa Kuhenga na Pinda) lakini usiwe maarufu worldwide.

Inabidi tuutafsiri umaarufu huu unatakika kwa kiasi gani, kiasi cha mtu kuonyeshwa picha na kumtambua muhusika instantly?

Watu walio truly maarufu dunia nzima ni wachache sana, I would say kina Obama,Jordan, Michael Jackson, Mike Tyson, Muhammad Ali, Mandela, Malcolm X, JFK na watu wa Caliber hiyo.

Nashukuru kwa kuelewa maana yangu.Nadhani mkuu aliyenishangaa hakuelwewa nina maana gani,na siwezi kumlaumu labda hiyo ndo level yake ya kuelewa.
 
KAHINDA,
Unanishangaza,
Tanzania iko nje ya Dunia?
Uelewa wako ndo huo mkuu?

Mkuu nadhani kama utachukua muda angalau sekunde moja ukatafakari hoja yangu utafahamu nina maana gani,nina imani hujanielewa.Kama Kabwe ni maarufu Tanzania si lazima awe maarufu Dunia ''nzima''.
wapo watu maarufu na siyo umaarufu wa kwenye jimbo lako ukufanye udhani kuwa wewe maarufu Dunia nzima.
 
Back
Top Bottom