World Bank yazitaka nchi mbalimbali Duniani ziige namna Tanzania inavyosimamia Uchumi wake na kudhibiti Mfumuko wa Bei

Wivu kwa kuwa Mwigulu kasema wamesifiwa na WB?! Nimecheka kwa nguvu.
Upo biased siku zote. Huko Kigoma uwanja wa ndege unapanuliwa utakuwa ni wa kilomita tatu badala ya moja.

Bilioni 500 zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara za mkoa. Kazi inafanyika kimya kimya.
 
Mabeberu wakishaachiwa fursa ya kupiga wala hawana tabu lazima wakupe sifa usizastahili ili uendelee kuwapa wanachotaka.

Wanatujua watu weusi tunashobokea ngozi nyeupe hivyo tukisifiwa kidogo tu tunajiona tunafanana nao.

Kumbe wanatuchora tu.
Akija bingwa anaelinda uchumi kwa masilahi ya wananchi wake mabeberu kazi yao ni kumpiga vita. Kila dhaifu akiwa pale juu ni mwendo wa kusifiwa huku watu wakiangamia. Tujikague tumepigwa
 
Wawadanganye wajinga tu, nchi hii bidhaa zote zilivyopanda bei mfumuko wa bei utakuwa kwenye 40% sasa kwa kuwa kila sekta ni siasa watatudanganya kwamba ni asilimia 4 au 5. Hovyo sana.
 
Upo biased siku zote. Huko Kigoma uwanja wa ndege unapanuliwa utakuwa ni wa kilomita tatu badala ya moja.

Bilioni 500 zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara za mkoa. Kazi inafanyika kimya kimya.
BOT wameishiwa Dola uchumi gani huo? eti mnauza nini nyie, kupata uchumi
 
Back
Top Bottom