Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 1,806
- 6,972
Wanawake asili yenu ni kuwa na huruma na kujali, lakini imekua opposite hasa kwenye sekta ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla.
Wanawake wa kipindi kile walikua wanawajali sana waume/wapenzi wao. Ukitoka kazini unakuta msosi umefunikwa kwa ungo lenye maneno matamu, hapo kuna maji ya moto yanakusubiri ukaoge. Ukimaliza kuoga chaguo ni lako uanze kula kipi. Na hio haijalishi kama umefanikiwa huko kwenye mizunguko au lah!
Ila siku hizi unatoka kwenye mizunguko unafika nyumbani mara mwanamke anataka ww ndo uanze kumbembeleza, chakula unakuta vilivyobaki mchana unachemshiwa tu kisha unatupiwa mezani, na maudhi mengi tu yanafuatia.
Sasa ujiroge mpeane talaka, atahakikisha anakufirisi hadi hizo boxer.
Wanawake leo hii jueni kwamba sifa kuu ya mwanamke ni 'uanamke', kuzaliwa mwanamke na kuwa mwanamke ni vitu viwili tofauti, wanawake kuweni wanawake hasa kwenye mahusiano.
Happy women's day to all feminine women.