Women: When is it OK to go braless?

mi naona bra sio lazima saa zote bwana kuna wakati unaweka tu vile vibandiko kwenye hizo ninihii.. wenyewe wanaita nipple covers...unalamba pamba yako..unakamata mkono wa Mr mnaenda zenu out!

yap imekaa vizuri sana kwa kweli wifi yenu akitaka aninyime raha ni kunivalia bra muda wote yaani najisikia kupunjika mno ati! Na yeye ajua!

sasa shida ipo kwa wale walioangusha yaani yameshuka kabisa kuna jinsi ya kuyarudishia uzuri wake wa kawaida ukiacha teknolojia ya kichina?
 
hahaha..kikombe anachokunywa, utakiweza?
mkuu nilishatangaza hapa kuwa one of my dreamz lazima nitie mguu swaziland nikashuhudie nikiwa bado na damu mbichi! Mnake nikienda uzeeni nitakufa kwa mshituko na mifadhaiko!
 
Hii tabia imezuka kila sehemu hapa dar unakuta mtu akiwa na kamaziwa
kamesimama kidogo anaacha kabisa kuvaa brazia ili watu watamaniwe nae
ukimwafata anadai huna uwezo wa kutmbea nae sasa si uweke qualificationa za wanaume unaoweza tembea nao ili wengi tusikimbizane na wewe
chaa ajabu imekuwa kama ppi hata wale wenye maziwa ya saa 12 kamili nao wameanza kutovaa,afadhali mjamwepesi naelewa ila nyie watoto vaeni brazia acheni kuiga watu wa nje ipo siku mtaombwa na wazazi wenu nao ni binadamu na kama ujui laana yake
soma
KUMBUKUMBU 28>..
 
Si kama furaha ya kuangalia comedy eeh! we ufurahii kuangalia hivyo vtu hakika hauko sawa.
 
Nadhani sababu ya hali ya hewa ni joto na wakivaa wanaweza patu fungus jamni waacheni wapunge hewa :eek:
 
Again ..ur sick ! mawazo yako ya kubakabaka , nakuambia uzeeni utabaka wajukuu kwa tamaa zako kama bado hujabaka ! Acha tuonapenda kuona tuone , kuona tunaona na sio lazima tuguse na kama kugusa tunaomba tukipewa poa tukinyimwa poa , kama huwezi kujizuia tafuta tiba mapema!
 
very true,,,,
na wasi wasi this guy does not get enough sex,
 
You have been held hostage and you have been given 4 minutes to dress before they start firing....
 
mbona nikiona mdada amevaa bila bra ni poa tu!cha msingi ajue alivyo yaani kama mambo saa sita ruksa kabisa kinachogomba nguo isionyeshe ila kama jua limezama inbidi ayawekee saport kwa bra vinginevyo wengine wanaweza tapika labda kama yupo home ruksa kupunga upepo ndiyo maana watu huvaa hata kanga moja
 
Hahaha. Kaizer, Uzi wako umenichekesha..long time sana!!
 
Last edited by a moderator:
ahahahahahahahahhahahahahahahaha
Hii tabia imezuka kila sehemu hapa dar unakuta mtu akiwa na kamaziwa
kamesimama kidogo anaacha kabisa kuvaa brazia ili watu watamaniwe nae
ukimwafata anadai huna uwezo wa kutmbea nae sasa si uweke qualificationa za wanaume unaoweza tembea nao ili wengi tusikimbizane na wewe
chaa ajabu imekuwa kama ppi hata wale wenye maziwa ya saa 12 kamili nao wameanza kutovaa,afadhali mjamwepesi naelewa ila nyie watoto vaeni brazia acheni kuiga watu wa nje ipo siku mtaombwa na wazazi wenu nao ni binadamu na kama ujui laana yake
soma
KUMBUKUMBU 28>..
 
Hii tabia imezuka kila sehemu hapa dar unakuta mtu akiwa na kamaziwa
kamesimama kidogo anaacha kabisa kuvaa brazia ili watu watamaniwe nae
ukimwafata anadai huna uwezo wa kutmbea nae sasa si uweke qualificationa za wanaume unaoweza tembea nao ili wengi tusikimbizane na wewe
chaa ajabu imekuwa kama ppi hata wale wenye maziwa ya saa 12 kamili nao wameanza kutovaa,afadhali mjamwepesi naelewa ila nyie watoto vaeni brazia acheni kuiga watu wa nje ipo siku mtaombwa na wazazi wenu nao ni binadamu na kama ujui laana yake
soma
KUMBUKUMBU 28>..

Mtumishi wa Mungu mbona zamani mwandiko wako ulikuwa mzuri.
 
Back
Top Bottom