Women+ beer= matatizo makubwa!!!

Ndugu,
Uliomba ridhaa za hao walioko katika hizo picha kabla ya kuziweka humu?
Kumbuka, Kuweka picha za watu kwenye mitandao bila ridhaa zao ni kukiuka maadili ya ki utu.
 
hizi picha zimemwagwa mtandaoni siku nyingi sana, labda walihusishwa kwanza! Cha muhimu ni kuchukua tahadhali kabla ya hatari
 
<iframe class="textbox" tabindex="1" id="vB_Editor_001_iframe"></iframe>KI DADA HAWAWEZI KUZUWIA HAJA
 
Ndugu,
Uliomba ridhaa za hao walioko katika hizo picha kabla ya kuziweka humu?
Kumbuka, Kuweka picha za watu kwenye mitandao bila ridhaa zao ni kukiuka maadili ya ki utu.
Mkuu chukua tahadhari, laga si chai, hasa pale usafiri wako ni wa daladala.
 
Ndugu,
Uliomba ridhaa za hao walioko katika hizo picha kabla ya kuziweka humu?
Kumbuka, Kuweka picha za watu kwenye mitandao bila ridhaa zao ni kukiuka maadili ya ki utu.

Je wao wali iomba radhi jamii kabla ya kujisaidia hadharani? Na wamedharirisha jinsia na kuchafua mazingira. Tehtehteh lol.
 
Hayo ndio matokeo ya kukitumia kiungo hicho mapema na kwa fujo, sasa kiungo kimeshachoka, hakina tena uwezo wa ku-control.
 
Usiangalie picha ,hapa unakumbushwa kuwa upatapo kile kinywaji jiandae pia kwa mambo kama haya
 
Hayo ndio matokeo ya kukitumia kiungo hicho mapema na kwa fujo, sasa kiungo kimeshachoka, hakina tena uwezo wa ku-control.

Mkuu hao wengi wao utakuta wana tatizo la sukari mwilini na si kama ulivyoeleza,hicho kiungo hata ukitumieje hakiathiri mfumo wa mkojo kwani ni njia mbili tofauti.
 
Back
Top Bottom