Woga wa Vuguvugu La Mabadiliko? Mkutano wa CHADEMA Mto Wa Mbu Wazuiwa

SEBM

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
495
325
Katika kile kinachoonekana kutishwa na mwitikio wa wananchi wa Mto wa Mbu, viongoji vyake na maeneo ya jirani kwa mkutano mkubwa wa hadhara uliokuwa ufanyike siku ya Jumamosi, 02/06/2012, serikali kupitia jeshi la polisi Wilaya ya Monduli imezuia Mkutano huo.

Taarifa ya uongozi wa CHADEMA Mto wa Mbu inaeleza;
".. mkutano hautakuepo wa kesho polisi wanasema hawana askari wa kutosha kwa sababu wana misafara ya wageni wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka pande za afrika na wanaenda kutalii manyara na ngorongoro hivyo mkutano umesitishwa na jeshi la polisi wilayani pia watu wa bodaboda wameambiwa kama hawana leseni ni marufuku kuonekana barabarani kuanzia leo (01/06/2012) kwa kuogopa nguvu ya umma"

My take

1. Mwandishi Mashuhuri - Gabriel Ruhumbika - aliwahi kuandika ; UWIKE, USIWIKE, KUTAKUCHA.Moto wa mabadiliko unatoka katika mioo yao.Kutakucha tu 2015.

2. Ni wakati sasa Elimu ya Uraia ikaenezwa kote na tafsiri sahihi ya sheria ikawepo ili kuhakikisha Polisi hawatumii sababu za kiintlijensia kuzuia watu kufanya mikutano.Hivi askari waliotakiwa ni wa nini?Maana mikutano ya CHADEMA hufanyika viwanja vya Mzambarauni ambapo ni hatua takriban 40 kutoka Kiuo cha polisi.

3. Huu ni mwanzo tu; 2015 Daudi anamshinda Goliati.

Nawasilisha,

NGUVU YA UMMA
 
Sasa polisiccm watazuia mpaka lini?Chadema kwa sasa ni Kama mvua ikiamua kunyesha inanyesha tu.
 
Hawa polisi ni wapuuzi maana hawana huwezo wa kuzui nguvu ya umma. Sasa hao watalii ndio wazuie wananchi kujadili mambo ya maendeleo? Huu ni utoto.
 
Hongera walinda AMANI wetu,

Polisi hawazuii maandamano bila sababu kutakuwa kuna taarifa za kiintelijensia zinaonyesha mkutano utakuwa na vurugu.

Big up polisi.
 
Katika kile kinachoonekana kutishwa na mwitikio wa wananchi wa Mto wa Mbu, viongoji vyake na maeneo ya jirani kwa mkutano mkubwa wa hadhara uliokuwa ufanyike siku ya Jumamosi, 02/06/2012, serikali kupitia jeshi la polisi Wilaya ya Monduli imezuia Mkutano huo.

Taarifa ya uongozi wa CHADEMA Mto wa Mbu inaeleza;
".. mkutano hautakuepo wa kesho polisi wanasema hawana askari wa kutosha kwa sababu wana misafara ya wageni wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka pande za afrika na wanaenda kutalii manyara na ngorongoro hivyo mkutano umesitishwa na jeshi la polisi wilayani pia watu wa bodaboda wameambiwa kama hawana leseni ni marufuku kuonekana barabarani kuanzia leo (01/06/2012) kwa kuogopa nguvu ya umma"

My take

1. Mwandishi Mashuhuri - Gabriel Ruhumbika - aliwahi kuandika ; UWIKE, USIWIKE, KUTAKUCHA.Moto wa mabadiliko unatoka katika mioo yao.Kutakucha tu 2015.

2. Ni wakati sasa Elimu ya Uraia ikaenezwa kote na tafsiri sahihi ya sheria ikawepo ili kuhakikisha Polisi hawatumii sababu za kiintlijensia kuzuia watu kufanya mikutano.Hivi askari waliotakiwa ni wa nini?Maana mikutano ya CHADEMA hufanyika viwanja vya Mzambarauni ambapo ni hatua takriban 40 kutoka Kiuo cha polisi.

3. Huu ni mwanzo tu; 2015 Daudi anamshinda Goliati.

Nawasilisha,

NGUVU YA UMMA
Nilikuwa nimejiandaa kwenda kushuhudia huu mkutano maaana nimesikia kuna kuna viongozi wa ccm zaidi ya 18 na wana chama 500 wanavuamagamba na kuvaa magwanda....
 
hivi hawa jamaa hawachoki?? mikutano ya hadhara kila wiki aisee

Siyo kila wiki kila siku mpaka kieleweke kama mlizoea chama cha CUF kipindi kikiwa chama cha kikuu cha upinzani kilikuwa kimya zamu hii ni chadema, na ukimuona adui yako anaaza kuelemewa ndiyo wakati mwafaka wa kumsukumizia masumbwi mpaka asalimu amri..............................Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
 
Ndiyo kazi ya siasa hiyo. Hawawezi kuchoka kufanya siasa wakati wamesajriwa kama chama cha siasa. Walipokuwa hawafanyi mikutano, magamba waliwaambia wananchi kuwa hivi ni vyama vya musimu. Sasa wanafanya mikutano magamba yanawashwa na kuweweseka ovyo.
 
Hata hivyo CHADEMA mnataka kuleta confusion sasa, kuna mikutano mingi sana inaendelea nchi nzima, everywhere, ni nini kinaendelea?
 
wakubwa!.....katika hili ninawasiwasi mkubwa Mhe Lowasa atakua amehusika,kama sio bas anisamehe lakini kuna uwezekano wa 80%
 
Hata hivyo CHADEMA mnataka kuleta confusion sasa, kuna mikutano mingi sana inaendelea nchi nzima, everywhere, ni nini kinaendelea?
Mkubwa!..,hapo kwenye red ni Vuguvugu la mabadiliko (M4C=Movement for Change) najua hupendezwi lakini itabidi upende tu,sasa utafanyaje Mungu kaamua binadamu hatuwezi kuzuia.......teh,teh! But unakaribishwa kama wewe ni msafi,njoo tukuvue gamba uvae gwanda
 
Siyo kila wiki kila siku mpaka kieleweke kama mlizoea chama cha CUF kipindi kikiwa chama cha kikuu cha upinzani kilikuwa kimya zamu hii ni chadema, na ukimuona adui yako anaaza kuelemewa ndiyo wakati mwafaka wa kumsukumizia masumbwi mpaka asalimu amri..............................Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
kaka una undugu na kocha wa tyson nn?
 
Katika kile kinachoonekana kutishwa na mwitikio wa wananchi wa Mto wa Mbu, viongoji vyake na maeneo ya jirani kwa mkutano mkubwa wa hadhara uliokuwa ufanyike siku ya Jumamosi, 02/06/2012, serikali kupitia jeshi la polisi Wilaya ya Monduli imezuia Mkutano huo.

Taarifa ya uongozi wa CHADEMA Mto wa Mbu inaeleza;
".. mkutano hautakuepo wa kesho polisi wanasema hawana askari wa kutosha kwa sababu wana misafara ya wageni wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka pande za afrika na wanaenda kutalii manyara na ngorongoro hivyo mkutano umesitishwa na jeshi la polisi wilayani pia watu wa bodaboda wameambiwa kama hawana leseni ni marufuku kuonekana barabarani kuanzia leo (01/06/2012) kwa kuogopa nguvu ya umma"

My take

1. Mwandishi Mashuhuri - Gabriel Ruhumbika - aliwahi kuandika ; UWIKE, USIWIKE, KUTAKUCHA.Moto wa mabadiliko unatoka katika mioo yao.Kutakucha tu 2015.

2. Ni wakati sasa Elimu ya Uraia ikaenezwa kote na tafsiri sahihi ya sheria ikawepo ili kuhakikisha Polisi hawatumii sababu za kiintlijensia kuzuia watu kufanya mikutano.Hivi askari waliotakiwa ni wa nini?Maana mikutano ya CHADEMA hufanyika viwanja vya Mzambarauni ambapo ni hatua takriban 40 kutoka Kiuo cha polisi.

3. Huu ni mwanzo tu; 2015 Daudi anamshinda Goliati.

Nawasilisha,

NGUVU YA UMMA

Hilo ndo jimbo ambalo mbunge wake ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ambayo ilishindwa hata mara moja haijaweza kukemea mauaji yanayoonekana ni ya kisiasa yaliyotokea Igunga na Arumeru.

Hata hivyo kuzuiwa kwa mkutano huu kutasababisha wananchi wengi kutaka kuhudhuria ili kujua ni kwa nini mkutano unazuiwa kwa nguvu. Asante sana poliCCM kwa kutusaidia kuwaamsha wananchi.
 
Kuwa na askari pungufu si suala la CDM wala wananchi, serikali siku zote inapaswa kuwa na askari popote watakapoitajika na ninakuwa na mashaka kauli ya "sababu za kiiterijensia" hivi niwaulize polisi yaliyotokea zanzibar mbona hamkuyaona mapema leo mnayaona ya CDM?
 
white hair atakua amehusika maana alivyokuja mto wa mbu alistushwa na mwamko wa watu wachache waliojitokeza kumsikiliza huku watu wakijianda kwa ujio wa MAKAMANDA,ameshajua mto wa mbu watu hawadanganyiki tena na wengi kama sio wote watavua MAGAMBA
 
Imeshakuwa vurugu mkuu wangu sangara, miradi ya watu hii.

Wasiwasi wanini Tume ya Katiba!Shughulikieni ya Zanz!Mikutano nihaki kwa vyama vyote.Kama inavurugu wasiopenda vurugu wasiende,na anaeleta vurugu apate haki yk kimahakama sikukatalia eti intelijensia?Zanzibar Intelijensia imelala eee?Woga huo!Nakwasitahili hii wanachi wanazidi kuamka nakuona hawa wanaosakamwa nibora maana hawaoni vurugu zao pamoja nakuwa namikutano karibu kila wk!Majibu 2015!Labda wajirekebishe soon!
 
Back
Top Bottom