Wmasai

sksksk

Member
Feb 16, 2009
14
1
Hivi lengo kuu la ndugu zetu wa kabila la wamasai kungoa jino la chini hapo zamani ilikua ni nini?
Maswala ya mila na desturi,afya au urembo?
 
Wamasai husumbuliwa sana na homa kali ile inayopelekea kupata degedege, na kama unavyojua mtu akiwa kwenye hali hiyo hukakama na hata kushindwa kufungua mdomo hivyo wao hutoa jino hilo ili iwe rahisi kumnyesha/ kupitisha uji au maziwa pili anapokumbwa na hali kama hiyo.

A u there?
 
Enda'subhai!
Wewe mejaribu ulisa ile Nyerere kwanini yeye nachonga ile meno sake, hadi
inakuwa kama ya "lowarukeri", ile wewe naita sijui...ile ..chui?

Mi iko Maasai, lakini hapana jua nini manake. Walipofanyia mimi, ile Orobaiyan naambia mimi kwamba ni MILA, natokea samani ya kokoo yangu.

Ngoja mimi naenda ulisa wasee, wao naelesa mimi kwanini ii mambo nafanyika hifi!.

Mikitaboloki Engai engoitoi!

Ashe naleng!
 
Huo ni mlango wa kupenyeza uji au maziwa mtu akizimia. "Jamaa ni wajanja wanakutengenezea miundo mbinu tangu ukiwa mdogo".Hii ni tofauti kwa ndg zetu WAFIOME wao wanatoa jino moja la chini na hasa la ktkt ili kupata mwanya,mwanya kwao ni pambo.
 
Enda'subhai!
Wewe mejaribu ulisa ile Nyerere kwanini yeye nachonga ile meno sake, hadi
inakuwa kama ya "lowarukeri", ile wewe naita sijui...ile ..chui?
Mi iko Maasai, lakini hapana jua nini manake. Walipofanyia mimi, ile Orobaiyan naambia mimi kwamba ni MILA, natokea samani ya kokoo yangu.
Ngoja mimi naenda ulisa wasee, wao naelesa mimi kwanini ii mambo nafanyika hifi!.
Mikitaboloki Engai engoitoi!

Ashe naleng!
.
Waulize kwanini wanaendelea kujizonga mashuka? Ktk ulimwengu wa kupiga pamba? Wanatia aibu!
 
Back
Top Bottom