Wizara ya afya

DAVIES

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
515
90
Hivi wizara ya afya inampango wa kuajiri wahitimu wake au ndio changa la macho mwenye taarifa maana hadi sasa yametoka majina 1166 au ndio wanatosha hao
 
Msote sote kwanza street mbona walim walivumilia 2! so vumilieni 2 bana au sio.
 
he he he jana waziri kasema wameajiri wale wote walioomba kazi....anyway kuna news zinasema majina mengine yatatoka.vuta subira mkuu
 
Back
Top Bottom