#COVID19 Wizara ya Afya yakanusha taarifa zinazodai Rais Museveni amepata chanjo ya Corona

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waziri wa Afya Nchini humo, Dkt. Jane Ruth Aceng amesema Rais Yoweri Museveni na watu wake wa karibu hawajapatiwa chanjo dhidi ya Virusi vya Corona

Wizara ya Afya imetoa kauli hiyo ikakanusha taarifa zilizotolewa na gazeti la Uganda la Daily Monitor na The Wall Street Journey la Marekani zikidai Museveni na watu wa karibu naye wamepata Chanjo

Hadi sasa Nchi hiyo imerekodi maambukizi 40,243 na vifo 333 huku waliopona wakifikia 14,615

 
Hicho kizee kikipata corona kinasepa nayo!

Muamuzi ni muda tu:
 
Mimi naimani hakuna kiongozi yeyote wa africa mpaka sasa hajapata chanjo.

Hata kama ungekuwa wewe ndye Rais lazima upate chanjo kwanza. Sema viongozi wa africa wanafiki hawataki kusema ukweli kwani kupata chanjo ni dhambi?
 
Back
Top Bottom