Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Tukio la jana hakika limewaacha wadau midomo wazi!TEF imeidhalilisha sana tasnia ya habari nchini!Nilitegemea mkutano ule, Makonda aombe radhi japo bado kungekuwa na kasoro fulani maana alitenda jinai na kesi ilishafungukiwa Oysterbay! Lakini kwa jeuri, Makonda akasema kuwa hawezi kuomba radhi!!!
Akasisitiza tena kwa herufi kubwa kuwa hawezi kuomba radhi!Cha ajabu TEF wakatoa msamaha na kumfungulia,leo tunasikia kuna kutofautiana baina ya wajumbe!!!!
Waandishi walihoji maswali,wajumbe wakabaki kubabaika!
Kuna haja ya jukwaa hilo kuvunjwa maana limeshindwa kusimamia haki,weledi na heshima!
Lakini pia nawapa wito vyombo vya habari kuendelea kususia habari za Makonda!
Huyu kijana anajiona Mungu mtoto ndani ya nchi hii!