WITO: Mhe. Ndugulile; tafadhali liangalie hili la Viwanja vya Gezaulole

bashemere

Senior Member
Jul 17, 2012
175
20
Mheshimiwa mbunge naomba ulitolee tamko hili la viwanja vya Gezaulole!

Kwanza wale waliokuwa na mashamba yale walidhurumiwa na wilaya ya temeke kwa kisingizio cha uendelezaji mji,lakini ilikuwa ni mbinu ya wakubwa kuwadhurumu wananchi asilia.

Sasa, tunakuomba uwaulize na wakupe takwimu waliolipwa ni malipo sahihi au ni ujanja ujana wa mradi mpya tunakuomba ufuatilie kala hatujachukua sheria mkononi maana hilo halina mjadala.

Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumedhurumiwa vya kutosha sasa runataka haki yetu na malipo halali maana tulipewa malipo pungufu sana!
 
jamani inauma sana hao wakubwa wameuziana nyumba za serikali sasa wanatupora ardhi zetu kwa kisingizio cha mji mpya jamani msituletee maafa kigamboni maana mnatufuata wenyewe na sas tunawakaribisha kwa lolote.
 
Nani kakwambia Kigamboni wanamwakilishi? Angalia jimbo zima halina barabara na maji lakini nani anajali? Kuna tatizo la uongozi wa uwakilishi kuanzia serikali za mitaa, madiwani mpaka ubunge. Sitarajii lolote jipya. Mtaniambia
 
Unaetaka atoe tamko nae yumo kwenyo orodha ya waliopata viwanja. tafuta mwingne wa kulisemea hili.
 
Nani kakwambia Kigamboni wanamwakilishi? Angalia jimbo zima halina barabara na maji lakini nani anajali? Kuna tatizo la uongozi wa uwakilishi kuanzia serikali za mitaa, madiwani mpaka ubunge. Sitarajii lolote jipya. Mtaniambia

unakosea sana

Kigamboni wan mwakilishi tatizo ni mfumo mzima wa maendeleo tanzania....

ardhi ya kigamboni ingeweza kabisa kujenga kila kitu kigamboni, ila imegeuka mtaji wa ulaji wa wachache, ideally pesa ya kuuza ardi kigamboni ilitakiwa kuendeleza miundombinu ya kigamboni na kuboresha huduma za jamii, tatizo ni kwamba pesa inakua directed kwenye shughuli nyingine, majimbo lingekua soltuion, but in our corrupt country sijui

UNLESS UMEAMUA KUWA MWANASIASA NA SIO MFUGAJI WA KUKU
 
ningependa nikupe taarifa rasmi mimi mwenyewe kwa email yangu ukiwa tayari nitakupa na simu yangu nikupe undani mheshimiwa tumefika hapa sababu ya [tamaa za viongozi wetu wa ngazi za chini kutuuza kwa vigogo thanx a lot.QUOTE=Dr F. Ndugulile;4319964]Nashukuru kwa taarifa. Nitafuatilia nikirudi safari. Ahsante.[/QUOTE]
 
Huyo mbunge wa ccm hana uwezo wa kushughurikia viwanja hivo mafisadi ccm wameamua kuwafanya watu wakigamboni wa kimbizi kwa kuwapora aridhi yao, Dawa ni kuipiga chini ccm heshima na utu wetu utarudi
 
Nitumie private message

ningependa nikupe taarifa rasmi mimi mwenyewe kwa email yangu ukiwa tayari nitakupa na simu yangu nikupe undani mheshimiwa tumefika hapa sababu ya [tamaa za viongozi wetu wa ngazi za chini kutuuza kwa vigogo thanx a lot.QUOTE=Dr F. Ndugulile;4319964]Nashukuru kwa taarifa. Nitafuatilia nikirudi safari. Ahsante.
[/QUOTE]
 
Kuichagua CCM ni kuchagua matatizo.
Endeleeni kui SUGAR COAT CCM,
mpaka waje watufungie waTanzania walalhoi kwenye zoo ya wazi ndo tutajua CCM ni Nuksi?


Just know one thing;

CCM DON'T CARE AT ALL
 
Back
Top Bottom