Unajua ukiumwa sio lazima umeze dawa, unajua sie tumeweka kichwani tukiumwa hao tunajikandika madawa kumbe saa zingine unahitaji vitu kama hivyo....lol@The Finest
Hivi unamtakia mema Asprin?
Anywe glass moja ukute ana dozi ya frajili?
Una balaa wewe!
Unajua ukiumwa sio lazima umeze dawa, unajua sie tumeweka kichwani tukiumwa hao tunajikandika madawa kumbe saa zingine unahitaji vitu kama hivyo....lol
Halafu ngoja nicheki naye asije kuwa anaumwa kipindupindu aisee...Soft killer
Aspirin unamwona huyu Smile? Anyway tumsamehe bure maana ni juzi tu kaachwa.Eliza wa tegeta huyu dah pole babuu
Jamani pole zenu ntazifikisha maana mie ndo nampa uji.
hivi ni asprin au ni mbu? Lol. Mwambie babu tunamwombea apone haraka. Tumemiss uchizi wake.
e bana eee babu yenu anapiga msuba?Babu chonde chonde, usije ukarudisha namba plz! Plz! Bado busara zako tunazihitaji japo kichwa saa ingine inapiga shoti, ila ado ado tutafika. Ntakuletea msokoto mmoja wa bure.
chei chei Faiza? Za mwaka mpya?Asprin pole sana. Sasa wewe tunaekutegemea utuponeshe "asprin" ukiwa mgonjwa sisi tuseme nini? inabidi uamke haraka sana, wengi tu taabani huku tunakungoja tupate dose zetu.