Wilson Mukama: Posho za wabunge hazina uhalali

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
495
Katibu Mkuu wa CCm Wilson Mukama amekosoa hatua ya wabunge kujiongezea posho za kikao (sitting allowance) badala ya posho za kujikimu (DSA). Mukama amesema kama swala ni gharama kubwa ya maisha mjini Dodoma, basi wabunge walipaswa kuongezewa DSA na sio sitting allowance kama walivyofanya.
Source: Mlimani TV news, special interview
 
Ganja bhana,hajui kama aliyepandisha ni Mjumbe wa NEC,Malkia,Mheshimiwa Spika,Mbunge na mjumbe wa UWT na mamaa wa bunge Tukufu kiranja wa wabunge wa CcM na mwana CCM mtiifu? Kama imemuuma amkanye ki Chama sio kuleta Upupu humu
 
Hiyo ni dalili ya wazi kuwa chama hakiko pamoja, kuna mvurugano ndani yake
 
Nadhani Mzee Mukama hajui alisemalo, kama anamaanisha then its the right time yule mama Makinda afukuzwe kwenye Uspika haraka iwezekanavyo
 
Nadhani Mzee Mukama hajui alisemalo, kama anamaanisha then its the right time yule mama Makinda afukuzwe kwenye Uspika haraka iwezekanavyo

Tatizo ni kwamba, who will bell tha cat?
 
Ukitafakari kwa makini ni kwamba Mukama anatuhabarisha sisi wananchi kuwa wakubwa hawa wamekaa kitako na kugundua njia ya kujiongezea hela. Badala ya posho za vikao (seating allowance) sasa watajificha kwenye DSA!
 
Nakuunga Mkono!
 
.......malkia, Bi Anne Makinda a.k.a (), juzi tu kalamba nishani kwa kazi iliyotukuka, kupandisha posho za wabunge ni moja ya kazi iliyompatia nishani wakuu, nchi hii tunazugana sana, labda watuambie walifanya hivyo ili kale kamswada ka-TUNDU Lissu kapite kirahisi.
 
Back
Top Bottom