william upo

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
attachment.php
 
Kina Tomaso wakija watakuambia umefanya usanii, yote kwa yote yaelekea kabla ya 2015 patakuwa kimeeleweka.
 
Kweli Serikali ingine inahitajika haraka ije iwaokoe hawa viumbe.Hapo kweli maisha siyapo hatarini.Mungu saidia Tanzania
 
william malecela baba yako amenufaika na mfumo mbovu wa ccm pamoja na wewe mwenyewe bado analindwa kwa pesa zetu za alala hoi na wewe unakuja na upuuzi wa magari sasa unataka mbowe atembelee mkokoteni?umejidhalilisha hususan mkeo umemtia aibu mbele ya umma pole sana ujuha wako,ulofa na uhayawani.dunia imebadilika kuwapigania wanyonge sio lazima uwe maskini:lock1:
 
chini ya umakamu mwenyekiti wa john malecela ndie alianzisha mpango wa kuiba kura za walalahoi kupitia chaguzi ndogo na hii laana haitatoka ndani ya familia maana watanzania wengi wamedhurumiwa haki zao sasa wewe ni zao la mafisadi na mwenyekiti wa chadema hana kashfa yoyote ya kuhujumu uchumi kila biashara yake ni halali lakini malecela unaona hata medali ya miaka 50 ya uhuru hakupata kitu kuonesha hujuma alizoasisi ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom