William @ New York, USA @ Dodoma @ bongo can you be my Valentine?

Jamani Kipipi wangu wapi na lini nkakukwepa wewe! Mie nipo mpendwa wewe tu! Sema kabla hujafichwa na Valentine wako!

Nimekusubiri mpaka nimechoka, we unachungulia halafu unaondoka.....sawa tuu! Mie sitafichwa na mtu Mj1......know that you are my valentine, niruhusu nikufate huko huko!!!
 
leo zamu ya michelle kumchunga
mie nimechoka kumkimbiza kimbiza

mwache tu ale mashamba ya watu
akila mihogo ndo atajuta kuvimbewa.

hahah........alafu wamechikichia na Kaunga, sijui kaenda kumtembeza kwa mtogole!!!
 
Nimekusubiri mpaka nimechoka, we unachungulia halafu unaondoka.....sawa tuu! Mie sitafichwa na mtu Mj1......know that you are my valentine, niruhusu nikufate huko huko!!!
Kipipi! Do not pull my legs plz! Nipo hapa naleweshwa tu na haya malavidavi ya haka ka-son kangu sa sijui nako kanaelewa mwezi wa valentine huu! Maana nashangaa leo kila saa kananihug, mara kanichum hadi nashangaa! Imenibidi nikae nae tutizame Kirikou hapa!!!

Nambie basi nikufuate wapi we mwana
 
Kipipi! Do not pull my legs plz! Nipo hapa naleweshwa tu na haya malavidavi ya haka ka-son kangu sa sijui nako kanaelewa mwezi wa valentine huu! Maana nashangaa leo kila saa kananihug, mara kanichum hadi nashangaa! Imenibidi nikae nae tutizame Kirikou hapa!
Nambie basi nikufuate wapi we mwana

Jamani mbona sianzishiwi thread ? Nitafute nami MJ1
 
mie huwa narudi usiku kupekua koti lake
si unajua koti la babu halikosi chawa.

Hah Kongosho Babu ODM anajifua kwa valentine!

Salamu zimefika.Ingawa amenifukuza nyumbani eti kuzeekea kwake siolewi, sitongozwi ni mkosi.
 
Kongosho hapo juu. Waweza mruhusu ODM alale kitandani kwa amani? MJ1 siku hizi ni mjukuu mkorofi. Kamkimbia babu kahamia kwa anko..... Kongosho come this way baby....
 
Kongosho hapo juu. Waweza mruhusu ODM alale kitandani kwa amani? MJ1 siku hizi ni mjukuu mkorofi. Kamkimbia babu kahamia kwa anko..... Kongosho come this way baby....

Dah unanikana Babu?! Sawa sibishani na Babu. Jamani kuanzia leo nitambueni kama Mjukuu Mtiifu Mkorofi!
 
Back
Top Bottom