William Malecela na tuhuma dhidi ya CHADEMA, utoto wa CCM unaendelea...

Now its real true from every angle that there is no real government but artificial one. Pesa za Deep Green zimeyeyuka, EPA, Twin towers, Import Support, Meremeta, RADA, Ndege ya Rais, Gold, Mishahara hewa, Pesa ya Safari za JK, Majasusi Igunga, ........................................................................................................................................................................................................., sasa movie mpya Pesa za za wafadhili wa nje kwa CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!! Vyote hivi vinafanyika na kuwezekena wakati kuna linefili linaitwa TISS linakoroma usingizini likiwa na drip ya fedha za walipakodi kwa kisingizio cha usalalamama ewe taifa!!! Inaudhi sana.
 
Kwenye profile ya Tanuru la fikra kule FB kaandika haya, namnukuu

"........W'S EXPERIENCE: Hatimaye jana gazeti moja limetoa mahesabu ya Chadema, na jinsi wanavyogawiana mapesa ambayo haijulikani yanatokea wapi, wabunge wao wanalipwa kodi zetu bungeni, na huko kwenye chama kumbe wanachota mapesa as they want na halafu ni wote, wakiongozwa na Komu, kama vipi nitazileta hapa the dataz, kwa wakombozi wa wananchi inaogopesha sana. MNACHOLILIA NI POWER TU LAKINI KWAMBA MTAKUWA TOFAUTI, SI KWELI!! - LE WILLIE!!
"

My take:

Huyu jamaa kakimbia hapa JF kwa muda sasa, kaamua kwenda FB kueneza umbea na utoto wake, ni mtu mzima ila ana hoja za kitoto sana.

Si nae acheck na media ili apate coverage kubwa kama Nape then aone moto wake............
 
Kwani TISS wako wapi au nao wanaiogopa Chadema, wasiwe dhaifu wapige kazi otherwise tunaamini sio kweli....
Ila msivuruge M4C cuz ndo ukombozi wa wananchi wa TZ
 
Wana JF, Willie Malecela anaweza kuleta data za kile anachokisema. Je mtamuomba msamaha kwa kashfa mnazomtolea?.

Ingekuwa hekima kumuomba alete data badala ya kuanza kumkosoa na kumtupia kashfa lukuki.

Chadema wanapigia kelele posho za wabunge na pesa ambazo wabunge wanalipwa wanapofanya vikao, lakini mbona wabunge wa chadema walio wengi wanachukua pesa hizo ukimtoa Zitto Kabwe?. Huo ni unafiki wa hali ya juu, ni hekima kutochukua hizo pesa huku mkipiga kelele ama chukueni hizo pesa na acheni kelele.
 
Magwanda yanaporowa jasho baada ya kushikwa pabaya huwa yanatowa harufu ya kikwapa!
 
Naomba kujulishwa kuhusu haya;
1/Ana umri gani?
2/Ana familia(mke na watoto)?
3/Anafanya kazi gani kwa sasa?
4/Je anatumia/alishawahi kutumia vileo(Pombe,sigara,madawa)
?
5/Ni msanii wa bongo?
6/Je anahusudu maisha ya kutoka na malaya wa bongo?
 
Kwenye profile ya Tanuru la fikra kule FB kaandika haya, namnukuu

"........W'S EXPERIENCE: Hatimaye jana gazeti moja limetoa mahesabu ya Chadema, na jinsi wanavyogawiana mapesa ambayo haijulikani yanatokea wapi, wabunge wao wanalipwa kodi zetu bungeni, na huko kwenye chama kumbe wanachota mapesa as they want na halafu ni wote, wakiongozwa na Komu, kama vipi nitazileta hapa the dataz, kwa wakombozi wa wananchi inaogopesha sana. MNACHOLILIA NI POWER TU LAKINI KWAMBA MTAKUWA TOFAUTI, SI KWELI!! - LE WILLIE!!
"

My take:

Huyu jamaa kakimbia hapa JF kwa muda sasa, kaamua kwenda FB kueneza umbea na utoto wake, ni mtu mzima ila ana hoja za kitoto sana.

Kwa hiyo Mkuu kila anayesema uovu wa Chadema mnamgeuza anakuwa mtoto na mnamtukana mixer kashfa kibao si ndio hivyo eeee? Kwa uelewa wako inaonekana CHADEMA ni Watakatifu ni MIUNGU watu si ndio?

NYIE NDIO WALE WENYE MACHO LAKINI HAMUONI MNAMASIKIO LAKINI HAMSIKII
 
Mke kamkimbia baada ya jamaa kushindwa kutunza famila huko kwa Obama
 
Naomba kujulishwa kuhusu haya;
1/Ana umri gani?
2/Ana familia(mke na watoto)?
3/Anafanya kazi gani kwa sasa?
4/Je anatumia/alishawahi kutumia vileo(Pombe,sigara,madawa)
?
5/Ni msanii wa bongo?
6/Je anahusudu maisha ya kutoka na malaya wa bongo?

Vp Slaa mkuu? Naona hayo yote yanamfit kabisa na ka-qualify kwa yote hayo
 
Kwa hiyo Mkuu kila anayesema uovu wa Chadema mnamgeuza anakuwa mtoto na mnamtukana mixer kashfa kibao si ndio hivyo eeee? Kwa uelewa wako inaonekana CHADEMA ni Watakatifu ni MIUNGU watu si ndio?

NYIE NDIO WALE WENYE MACHO LAKINI HAMUONI MNAMASIKIO LAKINI HAMSIKII

Je unaweza kumtuhumu mtu bila ushahidi?
 
Kwenye profile ya Tanuru la fikra kule FB kaandika haya, namnukuu

"........W'S EXPERIENCE: Hatimaye jana gazeti moja limetoa mahesabu ya Chadema, na jinsi wanavyogawiana mapesa ambayo haijulikani yanatokea wapi, wabunge wao wanalipwa kodi zetu bungeni, na huko kwenye chama kumbe wanachota mapesa as they want na halafu ni wote, wakiongozwa na Komu, kama vipi nitazileta hapa the dataz, kwa wakombozi wa wananchi inaogopesha sana. MNACHOLILIA NI POWER TU LAKINI KWAMBA MTAKUWA TOFAUTI, SI KWELI!! - LE WILLIE!!
"

My take:

Huyu jamaa kakimbia hapa JF kwa muda sasa, kaamua kwenda FB kueneza umbea na utoto wake, ni mtu mzima ila ana hoja za kitoto sana.

badala ya kujibu hoja unakimbilia kumjadili mtu!, wewe huko FB ulifuata nini?, unatofauti gani na yeye?!, mbona unatuletea umbea wa FB huku?!, JF siyo saizi yako, nenda ukamjibu hukohuko fesibuku.
 
Nikiwa sekondari niliwahi kusikia issue ya ZE UTAM then nikasikia mtoto wa Malecela ndo anahusika nayo.

Sasa anaitwa Le Mutuz @ Bongo movies.

Watu husema TIME WILL TELL. jinsi mda unavyoenda, jamaa anazidi kuonyesha rangi yake halisi. bora Nape akitoa zile kauli zake, mshahara wake unaingia, sasa huyu sijui analipwa na nani.

Anaposema wabunge wa CHADEMA wanalipwa kwa kodi zetu, hivi na Willie analipa kodi? kwa kwazi au biashara ipi?
Movie anazoanza kucheza zitaanza kutozwa kodi mwakani.

Kuna ile issue ya ndoa ya baba yake na mama kilango ya kuvizia u-first lady kwa mujibu wa sophia simba, zile mil. 200 zilitolewa na RA. Le Mutuz analijua hili?

Namshauri awe kama ndugu yake Dr. Mwele Malecela anagalau alinde heshima ya babake kwenye uzee huu.
 
Back
Top Bottom