Willam malecela-wahi kuomba kura kwa nassari

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
W. Malecela wahi kura ya ubunge wa afrika mashariki kwa NASSARI. Nassari mpe kura ya ndiyo William ni mtu wetu mwana jamii mwenzetu. Usimhukimu kwa ajili ndugu yake Lusinde alikutukana sana. Wiliam kamwonye ndugu yako Lusinde apunguze matusi ameaibisha Mvumi yote makulu , mission, Ndebwe, handari n.k. halafu tupe mrejesho kama umemonya.
 
Back
Top Bottom