Wilaya za Tanzania

Nyati

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
2,489
1,814
Wakuu
Pokeeni Salaamu za Upendo,

Naomba msaada wa kupatiwa orodha rasmi ya wilaya (zikionyesha Mikoa yake pia )zote za Tanzania Bara na Visiwani ikiusisha zile mpya Kama Nkenge, kilindi, Nkinga? n.k

Ama waweza nielekeza wapi naweza kuzipata. nataka fanya Sampling ili nifanye research

Natanguliza shukrani za dhati
 
I don't know about rasmi, Tanzania ni nchi ya "Data Not Available"

Kwa kuanzia ona hizi links

[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Districts_of_Tanzania[/ame]


http://www.tanzania.go.tz/
 
Last edited:
Nashukuru sana kwa link uliyotoa MZEE nafikiri ni pazuri pa kuanzia ingawa Nafikiri NKINGA ipo TABORA na siyo TANGA hata hivyo ni msaada mkubwa sana
 
Nashukuru sana kwa link uliyotoa MZEE nafikiri ni pazuri pa kuanzia ingawa Nafikiri NKINGA ipo TABORA na siyo TANGA hata hivyo ni msaada mkubwa sana

Tanga kuna wilaya iitwayo MKINGA. Inapakana na Muheza na inaenda mpaka Horohoro kule(mpakani na Kenya).
 
Back
Top Bottom