Wikileaks: Asemavyo Kikwete juu ya Museveni

hapa namuunga mkono Rais wetu kwa asilimia zote.amesema kwa ufasaha mkubwa bila kuzunguka.hapa Mh Kikwete amepata Credit kubwa,wakanushe! Tehe tehe tehe!
 
Museveni ni kibaraka wetu, hawezi kusema "kwi" kwa Watanzania, sisi ndio tulimuweka na sisi ndio tutaamuwa nani awe Rais mwingine wa Uganda.

Ukisema kuwa mtaamua nani awe rais wa Uganda baada ya M7 mtakuwa na tofauti gani na Marekani? Mtakuwa mnawatendea haki waganda?
 
ohh kanunuliwa siti mara ohh sijui niini

mbona hapa hajavaa hiyo suti mnayompakazia?

GO9G6293.JPG



 
Tatizo kubwa la wikileakes ni kutangaza habari ambazo zilizungumza private. Kila mmoja anakubali kua kuna mambo ni lazima yawe private vinginevyo yanaweza kuvuruga amani.

Wikileaks inatufungua macho kuwaona watawala wetu jinsi walivyowatupu huku wakituaminisha kuwa wamevaa nguo!!Je unaona hilo ni tatizo kwetu.?
 
Swali langu ni moja tu, Je alisha wahi kumwambia Mu 7 kuhusu hayo uso kwa uso? kama ni ndyo basi alifanya vyema, lakini kama sivyo basi itaonekana kuna siasa za kichochezi.
 
Nashangaa hata FF anakubaliana na hii "cable" ya wikileaks ila ikisema jamaa kanunuliwa suti na kulipiwa hotel wana haha
 
Kagera mjiandae, Mu7 akisoma hii vita vya Kagera vimerudi. Uganda itatupa kichapo tena

Alishajuwa siku nyingi sana kwani huoni muda mrefu sasa Tanzania na Uganda kama paka na Panya, na Museven si kama zamani tena.
 
SIKUBUKI KAMA KATIKA HISTORIA YETU UGANDA WALIWAHI KUTUCHAPA (sichochei vita ila UKWELI NA UITWE UKWELI)
<br />
<br />
Historia uchwara ya TZ inamambo inabagua mfano vita vya Kagera kati ya Tanganyika(Nyerere) na Uganda(Amin) na ya Zanzibar mpaka ata vyuoni inakuwa ignored.Pia kumsemea M7 huo ni unafki kwani vurugu za uchaguzi na kuwanyanyasa wapinzani huko UG km Besigye,Mao of DP mbona hamkosoi then he congragulated M7 na aka attend sworning in yake pale Kololo stadium.HYPOCRACY.
 
M7 yule haileweki ata ni mtu wapi,kwani waliofatilia sana kuhusu uzao wake walisema alizaliwa mkoani kagera wilaya ya karagwe na wazazi na mababu zake walikuwa wafugaji wa ng'ombe wanaitwa wahima.Je unajua M7 amesaidia ujenzi wa shule za sekondari Karagwe,Muleba na BK vijijini,unajua kuwa 2002 alipitisha vifaa vya kijeshi na kuaribu barabara lkn akalipia matengenezo?M7 ni mtanzania mwenzetu au lah?Je Kabila wa DRC inakuwa vipi?
 
Kabla kumnyooshea kidole Mseven, CCM iache ujanja katika uchaguzi wa viongozi ili iwe chama cha upinzani ijivunze ikiwa nje ya uongozi namna ya kujikinga na ufisadi kwa kuwatetea wanyonge.
 
Swali langu ni moja tu, Je alisha wahi kumwambia Mu 7 kuhusu hayo uso kwa uso? kama ni ndyo basi alifanya vyema, lakini kama sivyo basi itaonekana kuna siasa za kichochezi.

Don't think so. Amwambie Museveni is making the wrong decision to die in office? Amwambie kuwa Ugandans had asked both himself and former president Mkapa for help?
 
Huenda hii haitokanushwa na kina Salva!...........na nitawashangaa wakikaa kimya bila kusema chochote!
Hii wataanda press conference ya kuisifia, na kusema hapa wikileaks wameongea ukweli, lakini kwenye suti walidanganya
 
Back
Top Bottom